Uvaaji wa nguo ya ndani aina ya bikini

Uvaaji wa nguo ya ndani aina ya bikini

yaani unavaa bikini halafu unalalamika mkanda unapita katikati ulitaka ukae wapi?
 
Hahahahaha shouger mwenzangu ikakaa huko huko naona tabu nahis kama inanichubua kunako jamni tena kuna hii yenye kikamba kimoja mbele nikivaa nahisi clitorisis inawaka moto
zinavaliwa na suruali hizo ila kwanini ujitese unavaa chupi ya nini?
 
Badala ya kyupi kuhifadhi makalio ss hivi inabidi uyafunue makalio ndo ukute kyupi kimesitiriwa!! Kweli dunia inaenda mbio[emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vaa ukiona imeingia huko nistue nikutoe maana kuitoa mwenyewe ni dhambi mrembo
 
images
Rear view ndio huwa inaonesha tofauti ya bikini na kufuli nyingine.
 
Poleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua imeingia ktkt y makalio,sas nauliza au kuna style y kuivaa jamani hii fasheni n mm niipatie?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom