Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zinavaliwa na suruali hizo ila kwanini ujitese unavaa chupi ya nini?Hahahahaha shouger mwenzangu ikakaa huko huko naona tabu nahis kama inanichubua kunako jamni tena kuna hii yenye kikamba kimoja mbele nikivaa nahisi clitorisis inawaka moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Badala ya kyupi kuhifadhi makalio ss hivi inabidi uyafunue makalio ndo ukute kyupi kimesitiriwa!! Kweli dunia inaenda mbio[emoji124][emoji124]
Rear view ndio huwa inaonesha tofauti ya bikini na kufuli nyingine.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Poleni n majukumu,
Hivi wanawake wenzangu(baadhi) tunaopendelea kuvaa bikini,wenzangu huwa mnavaaje au mnamudu vp,maana mwenzenu nazipenda sana ila nikivaa basi kila saa naichomoa maana inakua imeingia ktkt y makalio,sas nauliza au kuna style y kuivaa jamani hii fasheni n mm niipatie?
HahahahahahaHalafu unajua najuaga we mwanaume.
Siku nyingine naonaga we mwanamke, halafu siku nyingine nakuona wewe mwanaume.
Wewe ni mwanamke au mwanaume??
Sorry 4dhisi.