Ni kweli lakini inatakiwa tukuze hali ya uchumi wa taifa na jamii na baada ya hapo huku tutafika bila kupiga kelele.Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri.
Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo
- Kujenga Utambulisho wa Binafsi:Kuruhusu watoto kuchagua nguo zao huwasaidia kuanza kuelewa wao ni nani. Mitindo ni njia mojawapo ya watoto kueleza hisia zao, mapendeleo yao, na vipaji vyao vya ubunifu tangu mapema.
- Kukuza Uhuru na Maamuzi: Watoto wanapochagua nini cha kuvaa kila asubuhi, wanajifunza kufanya maamuzi madogo lakini muhimu. Hii inawapa ujasiri wa kujiamini katika machaguo yao wanapokua.
- Kujiamini na Faraja: Mara nyingi watoto hufanya vizuri zaidi darasani wanapokuwa na faraja. Nguo ambazo mtoto anazipenda humfanya ajihisi mwenye furaha na "jasiri," jambo ambalo linaweza kuongeza ushiriki wake katika masomo.
- Kuthamini Utofauti: Katika ulimwengu wa sasa, ni muhimu watoto wajifunze kwamba watu ni tofauti. Kuona wenzao wakivaa mitindo tofauti huwafundisha kuheshimu utamaduni, dini, na mapendeleo ya wengine badala ya kuwafanya wote waonekane sawa kama roboti.
- Kuepuka Shinikizo la Kufuata Mkumbo (Conformity): Wakosoaji wa sare wanahoji kuwa kumlazimisha kila mtoto kuvaa sawa kunaua uwezo wa kufikiri nje ya boksi. Mitindo inahamasisha uvumbuzi na ujasiri wa kuwa tofauti na wengine.
- KIUFUPI TUACHE KUFUATA MKUMBO WA KIKOLONI ULIOLETWA NA WAINGEREZA WA KUVAA UNIFORM NA BADALA YAKE WANAFUNZI WAWE HURU KWENYE MAVAZI KUANZIA UMRI MDOGO.
Kuhusu wanafunzi kutoka maisha duni, vipi kuhusu wakifika vyuoni bado wataendelea kuvaa uniform?Kuna wanafunzi wanatokea maisha duni. Uniform.inawela usawa, huwezi ona ufukara wake
Pia tumeona baadhi ya taasisi vya elimu ya juu wakiweka dressing code kutokana na wanachuo kuvaa nguo za ajabu ajabu.
Shuleni watu wanafata elimu. Independent ikaboreshwa elimu zaidi
Hauwezi leta usawa kati ya maskini matajiri kwa uniform tu ,serikali iache uzwazwa wa kijinga iboreshe mazingira ya wananchiKuna wanafunzi wanatokea maisha duni. Uniform.inawela usawa, huwezi ona ufukara wake
Pia tumeona baadhi ya taasisi vya elimu ya juu wakiweka dressing code kutokana na wanachuo kuvaa nguo za ajabu ajabu.
Shuleni watu wanafata elimu. Independent ikaboreshwa elimu zaidi
Hakuna mwanafunzi kutoka vyuoni...Kuhusu wanafunzi kutoka maisha duni, vipi kuhusu wakifika vyuoni bado wataendelea kuvaa uniform?
That's why nikasema hatuwezi kuwaza uniform wakati elimu bado mbovu. Wewe husomi uko mtaani inakuwaje unawaza wanafunzi wa shule za msingi na secondary wavae nguo binafsi?Hauwezi leta usawa kati ya maskini matajiri kwa uniform tu ,serikali iache uzwazwa wa kijinga iboreshe mazingira ya wananchi
Hahahah Sina jambo bwashee , ni mawazo huria tu mnamaThat's why nikasema hatuwezi kuwaza uniform wakati elimu bado mbovu. Wewe husomi uko mtaani inakuwaje unawaza wanafunzi wa shule za msingi na secondary wavae nguo binafsi?
Mangi una jambo gani nyuma ya pazia
Mkuu,kwani nini maana ya mwanafunzi?Hakuna mwanafunzi kutoka vyuoni...
Ukiwa chuo huitwi mwanafunzi😊
Uniform ina maana kubwa pia. Sio kuleta usawa tu. Uniform ni utambulisho. Ukiona vijana wako na Uniform huko barabani huna haha ya kuuliza kama ni mwanafunzi au anasoma shule gani.Ila point yangu umeielewa maana mnadai kuleta usawa, vipi kuhusu wanaopanda school bus na wale wanaopanda daladala je hilo hamkuliona?
Hapana mangi una jambo binafsi, haiwezekani uko mtaani zaidi ya miaka 4 unawaza sare za watoto wa shule.Hahahah Sina jambo bwashee , ni mawazo huria tu mnama
Hapana mangi ,hizi tuhuma ni kali sana kwangu , ngoja mtoa mada azijibu .Hapana mangi una jambo binafsi, haiwezekani uko mtaani zaidi ya miaka 4 unawaza sare za watoto wa shule.
Am just thinking outside the box.
Naelewa basi ndugu yangu maama ya mwanafunzi huwa nawaona huko wakipita pitaMkuu,kwani nini maana ya mwanafunzi?
Wamerithi kutoka ukoloni hilo lazima ufahamu, na nimeeleza sababu kwanini sio lazima wavae uniform. Jaribu kuwa creative na sio kuishi katika mifumo ya kikoloni.Ukitaka hoja iwe na nguvu aanza kutafuta sababu za kwa nini wanafunzi wanatakiwa kuvaa sare muda wote wawapo shuleni. Na sababu hizo zitoe kwenye mamlaka husika za elimu. ukipata sababu hizo ndio utatakiwa kuzilinganisha na sababu zako.