Uvaaji wa uniform kwa wanafunzi umepitwa na wakati serikali ijitathmini upya

Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri.
Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo
  • Kujenga Utambulisho wa Binafsi:Kuruhusu watoto kuchagua nguo zao huwasaidia kuanza kuelewa wao ni nani. Mitindo ni njia mojawapo ya watoto kueleza hisia zao, mapendeleo yao, na vipaji vyao vya ubunifu tangu mapema.
  • Kukuza Uhuru na Maamuzi: Watoto wanapochagua nini cha kuvaa kila asubuhi, wanajifunza kufanya maamuzi madogo lakini muhimu. Hii inawapa ujasiri wa kujiamini katika machaguo yao wanapokua.
  • Kujiamini na Faraja: Mara nyingi watoto hufanya vizuri zaidi darasani wanapokuwa na faraja. Nguo ambazo mtoto anazipenda humfanya ajihisi mwenye furaha na "jasiri," jambo ambalo linaweza kuongeza ushiriki wake katika masomo.
  • Kuthamini Utofauti: Katika ulimwengu wa sasa, ni muhimu watoto wajifunze kwamba watu ni tofauti. Kuona wenzao wakivaa mitindo tofauti huwafundisha kuheshimu utamaduni, dini, na mapendeleo ya wengine badala ya kuwafanya wote waonekane sawa kama roboti.
  • Kuepuka Shinikizo la Kufuata Mkumbo (Conformity): Wakosoaji wa sare wanahoji kuwa kumlazimisha kila mtoto kuvaa sawa kunaua uwezo wa kufikiri nje ya boksi. Mitindo inahamasisha uvumbuzi na ujasiri wa kuwa tofauti na wengine.
  • KIUFUPI TUACHE KUFUATA MKUMBO WA KIKOLONI ULIOLETWA NA WAINGEREZA WA KUVAA UNIFORM NA BADALA YAKE WANAFUNZI WAWE HURU KWENYE MAVAZI KUANZIA UMRI MDOGO.
ni kwel ata uniform za trafik police jkt jwtz manesi na wachezaji mpira .. nazo zimepitwa na wakati........alisikika a man from matombo moro town
 
Hv kuna taifa lolote duniani ambalo primary level na secondary level hawavai sare?

Kuna kitu hakipo sawa hapa!
 
We jamaa sijui umewaza nini! Yaani hujaona high school mtu mzima wa miaka 20+ analazwa chini na kupokea mboko we umeona mavazi?
Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri.
Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo
  • Kujenga Utambulisho wa Binafsi:Kuruhusu watoto kuchagua nguo zao huwasaidia kuanza kuelewa wao ni nani.
 
sare za shule ziendelee kuwepo kwa wanafunzi wa shule za awali,msingi na shule za upili.
1)utambulisho kwa urahisi huu utambulisho unamlinda mwanafunzi anatambulika kwa urahisi anasaidika kwa urahisi jamii inamlinda mwanafunzi..hata hata hawezi kukaa mazingira hatarishi akiwa amevaa sare za shule ,tukikuona mtaani tunajua huyu mwanafunzi tunakulinda sasa tuweze kutifautisha wanafunzi na wasio wanafunzi hata mtaani wanapoenda na wanaporudi shule.

2)zinaondoa matabaka wanapokuwa shuleni wote wanakuwa sawa ,maskini na tajiri wote nakuwa kitu kimoja.

mfano kusema sheria ya nchi watu wote wanaotaka kumiliki magari wamiliki PASSO tu,uwe tajiri uwe maskini wote tunaendesjha Passo ..inaondoa matabaka shuleni..utajiri utaufayia KWENU ila shuleni wote SAWA.
 
Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri.
Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo
  • Kujenga Utambulisho wa Binafsi:Kuruhusu watoto kuchagua nguo zao huwasaidia kuanza kuelewa wao ni nani. Mitindo ni njia mojawapo ya watoto kueleza hisia zao, mapendeleo yao, na vipaji vyao vya ubunifu tangu mapema.
  • Kukuza Uhuru na Maamuzi: Watoto wanapochagua nini cha kuvaa kila asubuhi, wanajifunza kufanya maamuzi madogo lakini muhimu. Hii inawapa ujasiri wa kujiamini katika machaguo yao wanapokua.
  • Kujiamini na Faraja: Mara nyingi watoto hufanya vizuri zaidi darasani wanapokuwa na faraja. Nguo ambazo mtoto anazipenda humfanya ajihisi mwenye furaha na "jasiri," jambo ambalo linaweza kuongeza ushiriki wake katika masomo.
  • Kuthamini Utofauti: Katika ulimwengu wa sasa, ni muhimu watoto wajifunze kwamba watu ni tofauti. Kuona wenzao wakivaa mitindo tofauti huwafundisha kuheshimu utamaduni, dini, na mapendeleo ya wengine badala ya kuwafanya wote waonekane sawa kama roboti.
  • Kuepuka Shinikizo la Kufuata Mkumbo (Conformity): Wakosoaji wa sare wanahoji kuwa kumlazimisha kila mtoto kuvaa sawa kunaua uwezo wa kufikiri nje ya boksi. Mitindo inahamasisha uvumbuzi na ujasiri wa kuwa tofauti na wengine.
  • KIUFUPI TUACHE KUFUATA MKUMBO WA KIKOLONI ULIOLETWA NA WAINGEREZA WA KUVAA UNIFORM NA BADALA YAKE WANAFUNZI WAWE HURU KWENYE MAVAZI KUANZIA UMRI MDOGO.
Katika suala la sare za shule, nadhani pros zinazidi cons. Sare zinajenga mazingira salama, usawa na mkazo katika kujifunza kupitia kupunguza tofauti za kitabaka, ushawishi wa marika (peer pressure), unyanyasaji na distractions, huku zikiimarisha umoja, nidhamu na uhai wa shule!

By the way, if school uniform is an issue, are other uniforms (military, police, medical, aviation, etc) equally an issue? If not, why not?
 
Back
Top Bottom