Uvaaji wa uniform kwa wanafunzi umepitwa na wakati serikali ijitathmini upya

ni kwel ata uniform za trafik police jkt jwtz manesi na wachezaji mpira .. nazo zimepitwa na wakati........alisikika a man from matombo moro town
 
Hv kuna taifa lolote duniani ambalo primary level na secondary level hawavai sare?

Kuna kitu hakipo sawa hapa!
 
We jamaa sijui umewaza nini! Yaani hujaona high school mtu mzima wa miaka 20+ analazwa chini na kupokea mboko we umeona mavazi?
 
sare za shule ziendelee kuwepo kwa wanafunzi wa shule za awali,msingi na shule za upili.
1)utambulisho kwa urahisi huu utambulisho unamlinda mwanafunzi anatambulika kwa urahisi anasaidika kwa urahisi jamii inamlinda mwanafunzi..hata hata hawezi kukaa mazingira hatarishi akiwa amevaa sare za shule ,tukikuona mtaani tunajua huyu mwanafunzi tunakulinda sasa tuweze kutifautisha wanafunzi na wasio wanafunzi hata mtaani wanapoenda na wanaporudi shule.

2)zinaondoa matabaka wanapokuwa shuleni wote wanakuwa sawa ,maskini na tajiri wote nakuwa kitu kimoja.

mfano kusema sheria ya nchi watu wote wanaotaka kumiliki magari wamiliki PASSO tu,uwe tajiri uwe maskini wote tunaendesjha Passo ..inaondoa matabaka shuleni..utajiri utaufayia KWENU ila shuleni wote SAWA.
 
Katika suala la sare za shule, nadhani pros zinazidi cons. Sare zinajenga mazingira salama, usawa na mkazo katika kujifunza kupitia kupunguza tofauti za kitabaka, ushawishi wa marika (peer pressure), unyanyasaji na distractions, huku zikiimarisha umoja, nidhamu na uhai wa shule!

By the way, if school uniform is an issue, are other uniforms (military, police, medical, aviation, etc) equally an issue? If not, why not?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…