Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa.

Swali langu ni kuwa ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua muda kujiandaa au ni " false flag" waisrael wanataka kuosafisha gaza?
 
Iran anataka vita na israel sana kupitia Hamas na mshirika mkuwa wa Israel ni Marekani. Utata unakuja kwasababu Marekani haiwezi kupigana vita viwili kwa mpigo kuanzia mzigo wa Ucraine ambayo tayari imeshindwa vita na upande wa pili ni israel na Hamas.

Iran na Marekani ni wanafiki wa chinichini mbele za vyombo vya habari wanachukiana lakini pembeni wanaoendana sana. Septemba 13 USA walimpa Iran 6 billion dollars. Na Iran ni adui wa Israel. Lengo la propaganda ya vita ya leo wanataka kujenga hekalu la tatu au third temple pale jerusalem na Iran ashapewa chake dola billion 6 ili amuuze mpalestina.

Wote wanasubiria ujio wa anti christ vita ya leo ni maigizo tuu.
 
Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa.

Swali langu ni kua ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua muda kujiandaa au ni " false flag" waisrael wanataka kuosafisha gaza ?
waliwavizia na Iran ipo nyuma. Iran anataka kuwaweka wayahudi busy ili wasifikirie kumvamia yeye. wakimaliza hao wanaweza kuanza hezbulah any time. uzuri ni kwamba Mungu wa Israel alishaahidi, hatawaacha wala hatawapungukia "milele", kwahiyo magaidi yatashindwa tu.
 
Iran anataka vita na israel sana kupitia Hamas na mshirika mkuwa wa Israel ni Marekani. Utata unakuja kwasababu Marekani haiwezi kupigana vita viwili kwa mpigo kuanzia mzigo wa Ucraine ambayo tayari imeshindwa vita na upande wa pili ni israel na Hamas.

Iran na Marekani ni wanafiki wa chinichini mbele za vyombo vya habari wanachukiana lakini pembeni wanaoendana sana. Septemba 13 USA walimpa Iran 6 billion dollars. Na Iran ni adui wa Israel. Lengo la propaganda ya vita ya leo wanataka kujenga hekalu la tatu au third temple pale jerusalem na Iran ashapewa chake dola billion 6 ili amuuze mpalestina.

Wote wanasubiria ujio wa anti christ vita ya leo ni maigizo tuu.
Conspiracy theory zimeharibu ubongo wako kwa kiasi kikubwa
 
Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.

Anapata msaada wa USA hana ile nguvu kamili. Kama ingekuwa na nguvu kama ya USA sasa hivi tungekuwa katika kuongea mambo mengine.
Israel haiko mbali kiuwezo na majirani zake hapo mashariki ya kati.
Ndio maana inasumbuliwa na vijikundi vidogo vidogo
 
Back
Top Bottom