jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Iran anataka vita na israel sana kupitia Hamas na mshirika mkuwa wa Israel ni Marekani. Utata unakuja kwasababu Marekani haiwezi kupigana vita viwili kwa mpigo kuanzia mzigo wa Ucraine ambayo tayari imeshindwa vita na upande wa pili ni israel na Hamas.
Iran na Marekani ni wanafiki wa chinichini mbele za vyombo vya habari wanachukiana lakini pembeni wanaoendana sana. Septemba 13 USA walimpa Iran 6 billion dollars. Na Iran ni adui wa Israel. Lengo la propaganda ya vita ya leo wanataka kujenga hekalu la tatu au third temple pale jerusalem na Iran ashapewa chake dola billion 6 ili amuuze mpalestina.
Wote wanasubiria ujio wa anti christ vita ya leo ni maigizo tuu.
Hizi info umezitoa wapi?