Mungu huyo huyo wa Israeli amesema kwenye kitabu Cha Zechariah sura ya 14,waliwavizia na Iran ipo nyuma. Iran anataka kuwaweka wayahudi busy ili wasifikirie kumvamia yeye. wakimaliza hao wanaweza kuanza hezbulah any time. uzuri ni kwamba Mungu wa Israel alishaahidi, hatawaacha wala hatawapungukia "milele", kwahiyo magaidi yatashindwa tu.
Zekaria 14:1-2
[1]Tazama, siku moja ya BWANA inakuja, ambayo mateka yatagawanyika kati yako.
Behold, the day of the LORD cometh, and thy spoil shall be divided in the midst of thee.
[2]Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.
For I will gather all nations against Jerusalem to battle; and the city shall be taken, and the houses rifled, and the women ravished; and half of the city shall go forth into captivity, and the residue of the people shall not be cut off from the city.