Tatizo ni media na propaganda na kukuza mambo lakini infact mossad ni shirika la kawaida tuWajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa...
Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.Ingekuwa Israel inanguvu kama inavyochukuliwa na Watu wengi hasa Wakristo wa Afrika basi leo hii maeneo kama Lebanon, Gaza, Jordan, n.k yangekuwa chini ya utawala wa Kizayuni.
Ukizingatia mkuu wa mashoga duniani ana kibarua Ukraine alishindwa kuwapa umbeaTatizo ni media na propaganda na kukuza mambo lakini infact mossad ni shirika la kawaida tu
Soon Utaskia pray for Palestine...[emoji23]Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
Sio rahisi hivyo, kuna sheria za kimataifa zinawalinda alafu Waarabu Wana ushirikiano.Ingekuwa Israel inanguvu kama inavyochukuliwa na Watu wengi hasa Wakristo wa Afrika basi leo hii maeneo kama Lebanon, Gaza, Jordan, n.k yangekuwa chini ya utawala wa Kizayuni.
Israel ni mkoa wa marekani na ni partner wa UK,Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
waliwavizia na Iran ipo nyuma. Iran anataka kuwaweka wayahudi busy ili wasifikirie kumvamia yeye. wakimaliza hao wanaweza kuanza hezbulah any time. uzuri ni kwamba Mungu wa Israel alishaahidi, hatawaacha wala hatawapungukia "milele", kwahiyo magaidi yatashindwa tu.Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa.
Swali langu ni kua ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua muda kujiandaa au ni " false flag" waisrael wanataka kuosafisha gaza ?
Conspiracy theory zimeharibu ubongo wako kwa kiasi kikubwaIran anataka vita na israel sana kupitia Hamas na mshirika mkuwa wa Israel ni Marekani. Utata unakuja kwasababu Marekani haiwezi kupigana vita viwili kwa mpigo kuanzia mzigo wa Ucraine ambayo tayari imeshindwa vita na upande wa pili ni israel na Hamas.
Iran na Marekani ni wanafiki wa chinichini mbele za vyombo vya habari wanachukiana lakini pembeni wanaoendana sana. Septemba 13 USA walimpa Iran 6 billion dollars. Na Iran ni adui wa Israel. Lengo la propaganda ya vita ya leo wanataka kujenga hekalu la tatu au third temple pale jerusalem na Iran ashapewa chake dola billion 6 ili amuuze mpalestina.
Wote wanasubiria ujio wa anti christ vita ya leo ni maigizo tuu.
Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
Sio rahisi hivyo, kuna sheria za kimataifa zinawalinda alafu Waarabu Wana ushirikiano.
Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
Mikoa hiyo,ni adui wa Iran,North Korea,...Israel ni mkoa wa marekani na ni partner wa UK,
NOTHING MORE