View attachment 3646116
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu, Kawaida ameeleza kuwa kejeli hizo hazina afya kwa taifa na zinalenga kuvunja moyo na kudhoofisha jitihada za Rais Samia za kuleta maridhiano ya kisiasa, haki, na ukweli nchini.Kawaida amesisitiza kuwa UVCCM na vijana wa CCM wanaunga mkono kwa 100% kuundwa na kuanza kazi kwa Tume hiyo.
Katika hatua ya kuonesha msisitizo wa uwazi na haki, Kawaida amewataka makamishna na watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi yao kwa weledi mkubwa bila kumwogopa au kumwonea mtu yeyote muhali.
R.I.P Ally Kibao uchunguzi bado unaendelea.....View attachment 3646116

Chama cha kisiasa cha Affirmative Repositioning (AR) nchini Namibia, Agosti 6, 2026, kimewashukia viongozi wa vyama tawala na kutoa tamko zito la kuwaunga mkono vijana na wanaharakati nchini Tanzania wanaopigania haki na mabadiliko.
Kupitia taarifa rasmi iliyosainiwa na Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Prof. Dkt. Job Shipululo Amupanda, AR imelaani vikali mbinu ya kutumia Mhimili wa Mahakama wa Namibia kusafisha ukatili wa kisiasa na kupindisha ukweli kuhusu matukio ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.
"AR inasimama kidete na kwa ushirikiano usioyumba pamoja na vijana, wanaharakati, na makundi yanayopigania haki nchini Tanzania. Mapambano yenu ni mapambano yetu. Hatutakaa kimya wakati viongozi wa enzi za ukombozi wakilindana na kutetea ukatili kwa gharama ya hatima yetu," imesisitiza taarifa hiyo.
AR imeeleza kuwa makubaliano kati ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumteua Jaji Mkuu Msaidizi wa Namibia, Petrus Tileinge Damaseb, kwenye Tume ya Rais ya Uchunguzi ni muungano wa kisiasa kati ya SWAPO na CCM unaolenga kulindana badala ya kutoa haki kwa wahanga.
Chama hicho kimetoa msimamo thabiti kikimtaka Jaji Damaseb ajitoe mara moja kwenye tume hiyo, kikithibitisha kuanza mchakato wa kisheria mahakamani nchini Namibia ili kuzuia ushiriki wake na kuhakikisha sauti na maisha ya vijana wa Tanzania havichezewi na watawala.
#Namibia #AR #VijanaWaTanzania #JajiDamaseb #SasaLiveView attachment 3646122
Kawaida NI wakawida SanaView attachment 3646116
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu, Kawaida ameeleza kuwa kejeli hizo hazina afya kwa taifa na zinalenga kuvunja moyo na kudhoofisha jitihada za Rais Samia za kuleta maridhiano ya kisiasa, haki, na ukweli nchini.Kawaida amesisitiza kuwa UVCCM na vijana wa CCM wanaunga mkono kwa 100% kuundwa na kuanza kazi kwa Tume hiyo.
Katika hatua ya kuonesha msisitizo wa uwazi na haki, Kawaida amewataka makamishna na watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi yao kwa weledi mkubwa bila kumwogopa au kumwonea mtu yeyote muhali.
Kwani lazima BAVICHA wakubali tume yake? Si kuna vyama vingi vya opposition kwani havitoshi hivyo vikiikubli hiyo tume?View attachment 3646116
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu, Kawaida ameeleza kuwa kejeli hizo hazina afya kwa taifa na zinalenga kuvunja moyo na kudhoofisha jitihada za Rais Samia za kuleta maridhiano ya kisiasa, haki, na ukweli nchini.Kawaida amesisitiza kuwa UVCCM na vijana wa CCM wanaunga mkono kwa 100% kuundwa na kuanza kazi kwa Tume hiyo.
Katika hatua ya kuonesha msisitizo wa uwazi na haki, Kawaida amewataka makamishna na watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi yao kwa weledi mkubwa bila kumwogopa au kumwonea mtu yeyote muhali.
What a sonofabitch! Anayekwamisha uchunguzi ni huyo mama yake (fazafaka wa Kizimkazi) ambaye hataki kuruhusu uchunguzi huru kufanyika.View attachment 3646116
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu, Kawaida ameeleza kuwa kejeli hizo hazina afya kwa taifa na zinalenga kuvunja moyo na kudhoofisha jitihada za Rais Samia za kuleta maridhiano ya kisiasa, haki, na ukweli nchini.Kawaida amesisitiza kuwa UVCCM na vijana wa CCM wanaunga mkono kwa 100% kuundwa na kuanza kazi kwa Tume hiyo.
Katika hatua ya kuonesha msisitizo wa uwazi na haki, Kawaida amewataka makamishna na watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi yao kwa weledi mkubwa bila kumwogopa au kumwonea mtu yeyote muhali.
Wana mvunja moyo kwenye uongo mnaomjaza hivyo kuvunjwa moyo ambako ni chanya ni msaada kwa anayedanganywa na chawa kwani chawa yeye anataka aweze kufyonza damu tu,ikiwezekana na maji ama ukizubaa hata ubongo,kwani chawa wabongo ni zaidi ya mafisadi wa ndani ya taifa letu pendwa!View attachment 3646116
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu, Kawaida ameeleza kuwa kejeli hizo hazina afya kwa taifa na zinalenga kuvunja moyo na kudhoofisha jitihada za Rais Samia za kuleta maridhiano ya kisiasa, haki, na ukweli nchini.Kawaida amesisitiza kuwa UVCCM na vijana wa CCM wanaunga mkono kwa 100% kuundwa na kuanza kazi kwa Tume hiyo.
Katika hatua ya kuonesha msisitizo wa uwazi na haki, Kawaida amewataka makamishna na watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi yao kwa weledi mkubwa bila kumwogopa au kumwonea mtu yeyote muhali.
Huwezi kusikia kauli thabiti kama hii kutoka vile vyama bandia, kama CHAUMMA and the like. Tunaomba Mungu azidi kuwabariki wote wanaopigania, wanaotetea, ama kuunga mkono mapambano ya kupigania haki.Chama cha kisiasa cha Affirmative Repositioning (AR) nchini Namibia, Agosti 6, 2026, kimewashukia viongozi wa vyama tawala na kutoa tamko zito la kuwaunga mkono vijana na wanaharakati nchini Tanzania wanaopigania haki na mabadiliko.
Kupitia taarifa rasmi iliyosainiwa na Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Prof. Dkt. Job Shipululo Amupanda, AR imelaani vikali mbinu ya kutumia Mhimili wa Mahakama wa Namibia kusafisha ukatili wa kisiasa na kupindisha ukweli kuhusu matukio ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania.
"AR inasimama kidete na kwa ushirikiano usioyumba pamoja na vijana, wanaharakati, na makundi yanayopigania haki nchini Tanzania. Mapambano yenu ni mapambano yetu. Hatutakaa kimya wakati viongozi wa enzi za ukombozi wakilindana na kutetea ukatili kwa gharama ya hatima yetu," imesisitiza taarifa hiyo.
AR imeeleza kuwa makubaliano kati ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumteua Jaji Mkuu Msaidizi wa Namibia, Petrus Tileinge Damaseb, kwenye Tume ya Rais ya Uchunguzi ni muungano wa kisiasa kati ya SWAPO na CCM unaolenga kulindana badala ya kutoa haki kwa wahanga.
Chama hicho kimetoa msimamo thabiti kikimtaka Jaji Damaseb ajitoe mara moja kwenye tume hiyo, kikithibitisha kuanza mchakato wa kisheria mahakamani nchini Namibia ili kuzuia ushiriki wake na kuhakikisha sauti na maisha ya vijana wa Tanzania havichezewi na watawala.
#Namibia #AR #VijanaWaTanzania #JajiDamaseb #SasaLiveView attachment 3646122
Kutoka maktaba baadhi ya Matamko ya UVCCMMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Dkt. Samia Suluhu Hassan
Sijui mahakama ya Namibia ikoje...Chama cha kisiasa cha Affirmative Repositioning (AR) nchini Namibia, Agosti 6, 2026, kimewashukia viongozi wa vyama tawala na kutoa tamko zito la kuwaunga mkono vijana na wanaharakati nchini Tanzania wanaopigania haki na mabadiliko.