UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

mdude ana umaarufu? Upi?

Umaarufu anao, bila kujali ni wa aina gani. Huko bungeni nusu ya wabunge hawafahamiki, Mdude anfahamika kuliko wao. Kwahiyo hapa suala sio umaarufu, bali ni umaarufu wa aina gani.
 
Ila taasisi hiyo ya rais kutukana ruksa?
 
Umaarufu anao, bila kujali ni wa aina gani. Huko bungeni nusu ya wabunge hawafahamiki, Mdude anfahamika kuliko wao. Kwahiyo hapa suala sio umaarufu, bali ni umaarufu wa aina gani.
umaarufu usio na faida[emoji706][emoji706]
 
Mitizamo ya jinsi hii ndiyo inayochochea kuni kwenye moto wa katiba mpya.

Katiba mpya lazima itaandikwa kabla ya kufikia 2025 - kwa wino wa rangi yoyote ile!
 
Arudishwe arudishwe, kaizoea jela
 

Inaonesha jinsi gani hujielewi kabisa. Yaani rais aamue asitoke mtu na kauli yake itekelezwe! Na we unashadadia kwamba ndo haki hiyo ya kumlundikia rais madaraka kias ambacho anaamua tu.

Iga mfano wa marekani ambapo trump alishindwa kumtoa mwandishi wa habari tu aliyemkashifu mbele ya ikulu. Hii ndo katiba tinayoitaka siyo eti rais anaamua tu mtu flani asitoke na hatoki. Sasa kuna maana gani ya mihimili mitatu kama mawazo yako yapo hivyo. Au ni ufinyu wa elimu ulionao ama umekulia katika mazingira ya udictator ndo mana unashangaa kwa nini samia naye asiwe dictator kama wewe au jpm.
 
Kunyolewa na wembe ni tusi? Sisi tunataka katiba, acheni kutuhamisha kwenye agenda yetu
 
Mdude hajamtukana Samia, toa ushahidi
 
Hakuna sehemu Mdude kamtaja Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…