UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

mdude ana umaarufu? Upi?

Umaarufu anao, bila kujali ni wa aina gani. Huko bungeni nusu ya wabunge hawafahamiki, Mdude anfahamika kuliko wao. Kwahiyo hapa suala sio umaarufu, bali ni umaarufu wa aina gani.
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ.

Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Ila taasisi hiyo ya rais kutukana ruksa?
 
Umaarufu anao, bila kujali ni wa aina gani. Huko bungeni nusu ya wabunge hawafahamiki, Mdude anfahamika kuliko wao. Kwahiyo hapa suala sio umaarufu, bali ni umaarufu wa aina gani.
umaarufu usio na faida[emoji706][emoji706]
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonesha watu kama hawa kuwa Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Mitizamo ya jinsi hii ndiyo inayochochea kuni kwenye moto wa katiba mpya.

Katiba mpya lazima itaandikwa kabla ya kufikia 2025 - kwa wino wa rangi yoyote ile!
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonesha watu kama hawa kuwa Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Arudishwe arudishwe, kaizoea jela
 
Inaonesha jinsi gani hujielewi kabisa. Yaani rais aamue asitoke mtu na kauli yake itekelezwe! Na we unashadadia kwamba ndo haki hiyo ya kumlundikia rais madaraka kias ambacho anaamua tu.

Iga mfano wa marekani ambapo trump alishindwa kumtoa mwandishi wa habari tu aliyemkashifu mbele ya ikulu. Hii ndo katiba tinayoitaka siyo eti rais anaamua tu mtu flani asitoke na hatoki. Sasa kuna maana gani ya mihimili mitatu kama mawazo yako yapo hivyo. Au ni ufinyu wa elimu ulionao ama umekulia katika mazingira ya udictator ndo mana unashangaa kwa nini samia naye asiwe dictator kama wewe au jpm.
 
Kunyolewa na wembe ni tusi? Sisi tunataka katiba, acheni kutuhamisha kwenye agenda yetu
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonesha watu kama hawa kuwa Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Mdude hajamtukana Samia, toa ushahidi
 
Kama kweli anaamini uhuru wa mahakama,,vile vile lazima aamini uhuru wa kujieleza,,,sio lazima wote tuwaze utakavyo wewe,,,kila mtu ana uhuru wa kuwaza na kujieleza kwa kadri Mungu alivyo mjalia utashi wake,,,by the way rais sio Mungu,,,hata wewe pengine jamii inayo kuzunguka inakuona hufai kabisa,,ni kwa vile tyu huzungumziwi kwa sababu hufahamiki compared to mdude,,,by the way you might not understand ,the pains and feelings of mdude,wewe kaitetee familia yako kisha tulia,,mwache mdude with what he believe
Hakuna sehemu Mdude kamtaja Samia
 
Back
Top Bottom