musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya...
Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo
Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao
Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua kufikiria kwa matumbo yenu,hamuoni aibu siku za mbeleni namna maji a yenu yataandikwa?
Kiliba and the like hivi kweli mtu alieelimika anapswa kuwa hivyo?
Au kwa sababu walimu wenu ndio hawa akina Pro. Kabudi?
Maisha sio tumbo tuu...tumbo no sehemu ndogo sana