MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Moja ya kundi lilolokuwa brain washed nchi hii ni Umoja wa Vijana wa CCM, nina hakika kwa 100% CCM wamefanya makusudi kwa hawa vijana kuhakikisha Idara hiyo inakuwa haina uwezo tena wa kuhoji wala kupinga, badala yake kupokea maelezo. Hili ni tatizo kubwa sana.
UVCCM ukifatilia mijadala yao mitandaoni, mitaani utaona kabisa imefanyika kazi ya makusudi kuharibu fikra zao.
Baada ya ukombozi Kuwarekebisha UVCCM itakuwa moja ya kazi ngumu kama kurekebisha Jeshi ya Polisi