MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Fatilia mijadala ya tiktok au majukwaa tofauti ambayo kuna UVCCM, unaweza ukaliaUVCCM wengi ni vizazi mapooza vilivyotokana na mikesha ya mwenge.Hapo unategemea kupata viumbe walio wazima vichwani?
Mimi huwa nawainjoi kwa maswali mepesi yanayohitaji majibu ya mtu anayefikiri vema lakini wao hukurupuka tu kama mashuzi ya ngomani.Fatilia mijadala ya tiktok au majukwaa tofauti ambayo kuna UVCCM, unaweza ukalia
UVCCM ndio taasisi makini sana, yenye ushawishi na nguvu zaidi ya kuleta mabadiliko Tanzania.Moja ya kundi lilolokuwa brain washed nchi hii ni Umoja wa Vijana wa CCM, nina hakika kwa 100% CCM wamefanya makusudi kwa hawa vijana kuhakikisha Idara hiyo inakuwa haina uwezo tena wa kuhoji wala kupinga, badala yake kupokea maelezo. Hili ni tatizo kubwa sana.
UVCCM ukifatilia mijadala yao mitandaoni, mitaani utaona kabisa imefanyika kazi ya makusudi kuharibu fikra zao.
Baada ya ukombozi Kuwarekebisha UVCCM itakuwa moja ya kazi ngumu kama kurekebisha Jeshi ya Polisi
UVCCM ndio taasisi makini sana, yenye ushawishi na nguvu zaidi ya kuleta mabadiliko Tanzania.
Hakuna taasisi ya vijana barani Africa imara na madhubuti kama UVCCM.
hakuna haja ya kupotosha wadau wa JF gentleman ๐