UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
482
Reaction score
614
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.

Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
 
Back
Top Bottom