tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huo umoja umejaa michicha miba na wasagaji,yani mtu anaropoka tu kama popomaJumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo apo serikali ilifungia mitandao iliyokuwa ikipandisha maudhui kama hayo
Pia soma: Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono
Duu, hatari sanaSerikali yenyewe imesheheni wasagaji na wafiraji
Na kwa ushauri tu, Jamii forums ndo uwe mtandao rasmi kwa upande wa serikaliJumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo ]
Hovyo sana huyuHuyu Sheikh siku zote makalio ya wanawake ndo ajenda yake. Ameyabatiza majina mengi ya ajabu na mengine yakidhalilisha utu wa mwanamke. Lakini eti Leo ndo anatumika na UVCCM Kwa agenda kificho kutaka Twitter X ifungiwe. Anayoyahubiri siku zote haoni yanaharibu Jamii Ila X Kwa vile inatumiwa na watu wanaojielewa kukosowa matendo maovu ya waliomuajiri anakuja kutoa mbovu eti Twitter inaeneza ushoga. Nyani haoni kundule.
Lemme say this reacted your post with achana nayeHuyu Sheikh siku zote makalio ya wanawake ndo ajenda yake. Ameyabatiza majina mengi ya ajabu na mengine yakidhalilisha utu wa mwanamke. Lakini eti Leo ndo anatumika na UVCCM Kwa agenda kificho kutaka Twitter X ifungiwe. Anayoyahubiri siku zote haoni yanaharibu Jamii Ila X Kwa vile inatumiwa na watu wanaojielewa kukosowa matendo maovu ya waliomuajiri anakuja kutoa mbovu eti Twitter inaeneza ushoga. Nyani haoni kundule.
hata heading inachekesha, eti, "UVCCM YAITA SERIKALI....Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo kutangaza dhamira ya kuruhusu kupokea maudhui yanayokinzana mila, desturi na silka ya Watanzania
Hayo yamezungumzwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) wakati akizungumza na wanahabari leo, Jumanne Juni 11.2024 jijini Dar es Salaam ambapo amesema hatua ya kuufuta mtandao huo itasaidia kuendelea kulinda maadili ya vijana wa Tanzania kwa kuwa mitandao ya kijamii haipaswi kupewa kipaumbele kama inachochea uvunjifu wa mila na desturi
Kawaida amesema hivi karibuni mtandao huo (X) umetoa tangazo ukieleza kwamba maudhui yote ya kingono na Yale yanayofanana na hayo yameruhusiwa kupokelewa jambo ambalo halikubaliki kwenye taswira ya jamii ya Tanzania
Amesema taarifa hiyo ya kusikitisha imepokelewa kwa hisia hasi na UVCCM hivyo kuitaka serikali kuchukua maamuzi kama iliyowahi kuchukua siku za nyuma ambapo serikali ilifungia mitandao iliyokuwa ikipandisha maudhui kama hayo
Pia soma: Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono
No, hawaitaki Twitter tu, kwa sababu maalumu, ambazo ni aibu kuzitaja!!Mbona almost social media zote zinaruhusu hizo content? Lakini pia zina option if hutaki unaweza disable kuona hizo content