Elections 2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

Kuchagua rais wa manager wa miradi katika nchi hii ni dharau sana kwa wasomi, tunatka raisi mwenye sera, dira thabiti .
 


Haihitaji macho ya kiroho kuona kwamba yule mwenzao kule kushoto mawazo yako kwenye buku 7 zake baada ya kazi
 
KATIBA MPYA mbona CCM hawaizungumzii?

WATAISOMA mwska huu.
 
Hawa si ndio wamekaa benchi Wanasubiri ukuu wa wilaya. Ulitegemea waseme nini?
 

Mtela a.ka. ganzi nzito siku hizi umeacha bangi?
 
Safi sana vijana wenzetu kwa kuonesha mawazo mazuri na kuifanya kazi yenu sawasawa ..Hapa kazi tu.
 

Mmepitiwa na dhoruba ya Mabadiliko jana.
Subirin Vijana wenzenu waje kulichukua Jengo lao hapo baada ya October. Itabidi mkatafute kazi za kujenga uchumi wetu kuliko kushinda hapo Vijana Bldng, Lumumba street na ngojera, porojo etc etc. Tumewachoka vibaya sana tena sanaaa..
Kipindi hiki vijana wavivu hamtakuwa na nafasi ktk mchaka mchaka wa kuibadilisha nchi yetu baada ya kudumaa kiuchumi na kijamii chini ya CCM.
 

Lowasa hakuwa na uwezo wa kuchambua ametoa vitu jumlajumla. unapozungumza utendaji wa serikali popote duniani unazungumzia elimu, afya, ulinzi ,mawasiliano na vitu vya namna hiyo. kwa case ya matatizo ya Tanzania Magufuri amegusa maeneo maalum yatakayoshughulikiwa na serikali yake.

Usitake kufukia udhaifu wa lowasa jana aliposhindwa kabisa kutueleza tutarajie nini katika miaka mitano yake. Acha mahaba ya hivyo. Kiongozi mzuri ni yule aaeweza pia kueleza mawazo yake kwa ufasaha kwa wananchi wake. Hiyo itakufanya hata ukiwa mtendaji mzuri ukishindwa kufafanua unachokifanya utazua usumbufu usio wa lazima.
 
Nimefuatilia sehemu nyingi sana ,hawa jamaa hawalali na wamemsahau MAGUFULI wao na LOWASA tu,oneni haibu,

Niwaambie kitu..... watanzania tumechoka sana na zaidi ni kuona nnakataa maoni yetu alafu mnataka kutuongoza,

Kwani CDM/UKAWA ,wamepimwa wapi kuwa hawawezi kuongoza nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…