Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.
Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.
Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.
Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.
Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.
Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu 😀. Maajabu ya UVIKO hayo!!
Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.
Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.
Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.
To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.
We never had people drop dead in the middle of the streets.
We never had our healthcare facilities overwhelmed.
Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!
We showed the world how it’s done 💪💪.
Couldn’t be any prouder!