#COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

#COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

Tusingekuwa na mentality ya kitumwa basi hiki kilikuwa kitu cha kujivunia!
Lakini kwa kuwa hakikuanzishwa na wakoloni wetu, tutakiponda tu. Kwa sababu aliyeongoza mapambano alikuwa "Dikteta uchwara" na "shetani" hapaswi kupewa credit yoyote. Utumwa iwe kwa kuwa chini ya wakoloni au chini ya mkoloni chuki huwa ni mbaya sana! Hupofusha!

Watu msio kuwa na shukrani mpo kila mahali kwahiyo mzee wa watu amekukosea nini mpaka
Unamwita hivo?

Kwaiyo Mzee asipewe crediti kwa mbinu zake madhubuti pamoja na
Kumtanguliza mungu mbele na kuisaidia Nchi yake kushinda ugonjwa wewe ulitaka credit apewe nani?
 
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.

Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.

Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.

Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.

Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.

Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu [emoji3]. Maajabu ya UVIKO hayo!!

Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.

Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.

Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.

To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.

We never had people drop dead in the middle of the streets.

We never had our healthcare facilities overwhelmed.

Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!

We showed the world how it’s done [emoji123][emoji123].

Couldn’t be any prouder!
Kwanza nikupe pole mkuu kwa kuondokewa na kipenzi chako Jiwe. Lakini pia niusifu Uviko kwa kuikomboa nchi kutoka kwa yule muuaji. Mwisho niulize wewe uko Tanzania au bado wabeba box kama unavyojinadi? Mwisho zaidi uko sahihi baada ya Jiwe kufa(faraja kwa Taifa) Uviko ni kama ulihama Tanzania au dunia kiujumla na zaidi hakuna kiongozi mwingine alikufa kwa huo ugonjwa. Inaweza kuwa kuna kitu/siri hapa.
 
Watu msio kuwa na shukrani mpo kila mahali kwahiyo mzee wa watu amekukosea nini mpaka
Unamwita hivo?

Kwaiyo Mzee asipewe crediti kwa mbinu zake madhubuti pamoja na
Kumtanguliza mungu mbele na kuisaidia Nchi yake kushinda ugonjwa wewe ulitaka credit apewe nani?
Ila nawe kwa kukurupuka....!
 
Mtu anatoka huko na viroba kichwani anaanza kuimba, oh magufuli na wasaidizi wake walikufa kwa corona hivi nyie akili zinawatosha?

Hivi hamjui vifo vya kutengeneza ili ionekane ni ugonjwa? Kama corona mbona kwenye familiya yake hakuna alokufa? Mama yake mzee hivyo hiyo corona mbona haikumgusa?

Hivi tuliambiwa mkapa alikufa kwa ugonjwa upi?
Ukitumia ushirikina kwenye corona badala ya science lazima ufe tu. Ndicho kilimkuta Jiwe.
 
You have the intelligence to understand this, don't you?

Hakuna pandemic ambayo imepata ku-wipe out the human race. Mwaka 1918 kulikuwa na Spanish Flu ambayo iliua wengi pia. Baada ya muda mwili hujenga kinga na kinga hiyo ikisambaa kiasi cha kutosha, kunakuwa na kinga at the population level (inaitwa herd immunity). Utafiti uliofanyika hivi karibuni Gauteng RSA, umeonyesha kuwa 70% wa wakaazi wote wa Gauteng wana antibodies dhidi ya corona sasa. Hii ni sawa na kusema kuwa 70% wamechanjwa - ama kwa chanjo ama kwa kirusi chenyewe naturally. Hii inakaribia herd immunity. Sijui kwa Tanzania lakini utafiti ukifanyika, matokeo yanaweza kuwa hayo hayo. Lakini mpaka kufikia herd immunity, kuna wengi watakuwa wamezikwa. Of course kiongozi yeyote anayechagiza watu wake wasijikinge ili herd immunity ipatikane ni mjinga na mpumbavu.
Kasome research ya Fauci et al juu ya nini kiliwaua watu kwenye Spanish Flu...!
 
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.

Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.

Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.

Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.

Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.

Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu [emoji3]. Maajabu ya UVIKO hayo!!

Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.

Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.

Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.

To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.

We never had people drop dead in the middle of the streets.

We never had our healthcare facilities overwhelmed.

Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!

We showed the world how it’s done [emoji123][emoji123].

Couldn’t be any prouder!

That’s what happens when scientists offer their opinions as facts. They misled the world in big ways even as they knew too little about the virus.

COVID-19 kweli ilikuwepo, lakini lethality yake ilikuwa hyped kupita kiasi. Mgonjwa yeyote aliyepimwa na kupatikana na COVID-19 na ugonjwa mwingine, ule ugonjwa mwingine automatically uliwekwa kwenye back seat na kuwa ignored kabisa hata kama ni ugonjwa ambao ungemuua mgonjwa bila kujali kama alikuwa na COVID-19 au.

Huo ugonjwa ungekuwa lethal kama ambavyo tulikuwa tunaaminishwa, Wabongo wangepukutika kama mende waliopuliziwa dawa ya kuwaua. 2020 general election campaigns zisingewaacha salama!
 
Huu ni ujinga. Sababu UKIMWI siku hizi hauonyelewi kama zamani basi haujawahi kuwepo, au si ugonjwa mkali?
 
Kuhusu uchaguzi wa 2020, mtu aliye medically fragile kama Tundu Lissu alipiga kampeni nchi nzima na akamaliza bila shida yoyote ile.

So go figure!
 
Huu ni ujinga. Sababu UKIMWI siku hizi hauonyelewi kama zamani basi haujawahi kuwepo, au si ugonjwa mkali?
Mbona hata Ukimwi siku hizi siyo ishu!

Watu wanaishi nao na wanaishi maisha marefu tu na maisha ya kawaida kabisa!
 
Nilipigwa na uviko mwaka 2020 mwanzoni, ila namshukuru Mungu kwa kunivusha salama maana shughuli yake sio mchezo.
 
Uviko 19 una dalili nyingi, siyo lazima watu wadondoke njiani au walazwe hospitali. Dalili moja kubwa ya uviko 10 ni ukungu wa ubongo (brain fog) ambayo mara nyingine inaharibu kabisa ubongo wa mgonjwa. Sasa ukiangalia Watanzania wengi utaona wazi wameshapigwa na uviko 19 kwa akili zao finyu. Ni afadhali hata nchi zingine zilizojaza watu hospitali kuliko sisi tuliougua kimya na akili zetu zimedumaa.
 
Naam!

Na toka mwanzo ilikuwa hivyo hivyo.
Kwa waliopoteza wapendwa wao hii thread ni kama kejeli. Uzuri/ubaya ni kuwa kama covid haijathiri watu wako wa karibu unaona ni mambo yalikuwa sawa tu.
1. Covid ilipoingia 2020 tulipoteza watanzania wenzetu wengi. Ni kwa sababu tu ilikuwa inafichwa lakini ni wengi waliofariki. Hili nilishuhudia kwa macho yangu.
2. Awamu ya pili ya covid nayo tulipoteza watu wengi. Siyo jambo la kupuuzia hata kidogo
3. Sasa hivi covid Tanzania ni kama hakuna. Hata hospitalini kama wako waliolazwa basi ni wachache mno. Kwangu mimi nadhani hii Omicron siyo kali na mwaka jana mwishoni kuwa watu wengi sana waliugua na kupona. Hakukuwa na vifo.
 
Nikikumbuka uviko ulivyonichapa sina hamu. Yaani usiombe ukufike halafu hospital wanakupina wanasema uko fit kumbe uviko unaendelea kula kinga. Siku unazidiwa kumbe ndiyo unataka kuingia stage mbaya. Asante Mungu jwa uhai. Wapumzike Kwa Amani aunt zangu wawili na kaka yangu. Poleni nyote mlioguswa na uviko wewe binafsi au ndugu. Maana ndiyo mnajua machungu ya Uviko.
Pole sana. Tupo wengi tuliopoteza watu wetu wa karibu. Wengi wa wanaopiga kelele hawaja-experince vifo kwa watu wa karibu. Na Tanzania walifariki watu wengi. Madhara ya uviko wa Tanzania hayajulikana kwani Magufuli aliamuru habari ifichwe. Kwa watu tuliofiwa na watu wa karibu tunajua hata vyeti vya vifo havikuandikwa wamefariki kwa uviko kutokana na amri kutoka juu.
 
Back
Top Bottom