#COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

Nakwambia ukweli sasa. Mi ndiye niliyemtibu Mzena wakati anakata roho. Wee choma mahindi hapo Buguruni halafu jifanye unajua kitu!

Kwa akili yako hiyo unadhani ukiwa na ugonjwa wa moyo, corona inakuogopa?
mtu mzima mwenye taarifa kama hizi kichwani ni hasara kwa taifa.

kumbe sio ugonjwa wa moyo kama wasemavyo wataalam!!!
 
akatibiwa na dawa gani???
Madawa mchanganyiko nifedipine, vasodilators ili pressure ishuke na kumsaidia kupumua Kidogo Alipewa za homa kidogo.. Athalin inhaler nyingine sikumbuki
 
Nakwambia ukweli sasa. Mi ndiye niliyemtibu Mzena wakati anakata roho. Wee choma mahindi hapo Buguruni halafu jifanye unajua kitu!

Kwa akili yako hiyo unadhani ukiwa na ugonjwa wa moyo, corona inakuogopa?

ulikuwa unamtibu ili afe au apone!!!
maana kwa akili hizi sidhani kama una uwezo hata wa kutibu uvimbe wa kuumwa na nyuki.
 
Madawa mchanganyiko nifedipine, vasodilators ili pressure ishuke na kumsaidia kupumua Kidogo Alipewa za homa kidogo.. Athalin inhaler nyingine sikumbuki
kama hospital wenyewe hawakujua ipi dawa sahihi ya uviko mpaka wakachanganya?kosa la jiwe kusema mjifukize lilikuwa kuongea kwa sauti au??
 
Uviko inatibiwa kwa jinsi mgonjwa anavyokuwa.. Kama ni homa unampa dawa za kushusha homa.. Akibanwa kifua unamtafutia unafuu wengine mpaka wamepewa msaada wa oxygen..
ukijifukiza oxygen inakuwepo kwenye mfumo wa maji (vapour) sasa mgonjwa wa ICU atapona?
Kosa la jiwe ni kusema Tz is corona free
 
sasa hivi mmeambiwa na nani kwamba tz ni corona free!!!mbona hakuna anayejishughulisha nayo??

jiwe march 2020 tz is corona free contry.
jiwe june 2020 tz corona ipo ila jifukizeni
jiwe oct 2020tz ni ugonjwa kama mengine jifunzeni namna ya kuishi nao kama mengine
 
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.

Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.

Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.

Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.

Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.

Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu 😀. Maajabu ya UVIKO hayo!!

Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.

Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.

Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.

To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.

We never had people drop dead in the middle of the streets.

We never had our healthcare facilities overwhelmed.

Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!

We showed the world how it’s done 💪💪.

Couldn’t be any prouder!
Big up kwa jpm
 
Hata hauna akili ya kujua kuwa nyuki wanaua watu wengi duniani!! Endelea tu kuchoma mahindi...
ulikuwa unamtibu ili afe au apone!!!
maana kwa akili hizi sidhani kama una uwezo hata wa kutibu uvimbe wa kuumwa na nyuki.
 
Hichi ndio kitu pekee magufuli alichopatia kuliko vyote,nchi zilizofanya lockdown saivi wanajilaumu tu
 
Ata ukimwi ni kama haupo ukienda dangulo na kondomu watakushangaa
 
Corona haipo kilichobaki ni jina la kukopea na kupatia misaada
 
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.

Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.

Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.

Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.

Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.

Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu 😀. Maajabu ya UVIKO hayo!!

Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.

Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.

Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.

To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.

We never had people drop dead in the middle of the streets.

We never had our healthcare facilities overwhelmed.

Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!

We showed the world how it’s done 💪💪.

Couldn’t be any prouder!
Xxdddxxmk

Ngabu, post: 41823334, member: 188"]

Mkuu si tu ugonjwa Bali hicho kiting ilikuwa siasa. Leo Hui unaona kinachoendelea? Wary wamehamia Russia. Said IV wary wanavuka turn bilateral hats hzo protocol, Indonesia ujue sass dunia. Kunawatu hues wanaiongoza kwa matakwa yao..
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.

Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.

Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.

Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa.

Kwa hapa Tanzania, ugonjwa huo ulitumika kisiasa zaidi hususan dhidi ya Jiwe.

Alipokufa tu, na hizo habari nazo zikafa. Humu JF zile mada za vifo nazo zikaisha kabisa. Ilifikia wakati watu hapa Tanzania hawakuwa wanakufa kwa mambo mengine. Walikuwa wanakufa kwa UVIKO-19 tu. Magonjwa mengine yote yaliacha kuua watu 😀. Maajabu ya UVIKO hayo!!

Sasa nikiangalia hata jinsi tu watu waishivyo hivi sasa, nikijumlisha na mwitikio wa watu juu ya chanjo, nashawishika kunena kuwa UVIKO-19 si ugonjwa mkali kama walivyotaka kutuaminisha.

Maana kwa Tanzania hii wala huhitaji kufanya utafiti wowote ule kuona kuwa asilimia 99.99 ya Watanzania [makisio yangu tu] hawana muda wa kuuwaza huo ugonjwa.

Watu wanapiga kazi kama kawaida, tena bila barakoa wala bibi yake barakoa. Hakuna cha kukaa mbalimbali na watu wenzio. Vyombo vya usafiri vinajaza watu kama kawaida. Sehemu za starehe ndo usiseme kabisa. Jaribu tu kwenda hata hapo Kitambaa Cheupe uone nyomi lake. Nenda kwenye masoko huko uone watu wanavyoendelea na mishe mishe.

To make a long story short, most Tanzanians don’t give a F… about COVID. And I dare say they were way ahead of the curve compared to the rest of the world as the stupid mask mandates and other ridiculous restrictions are being lifted.

We never had people drop dead in the middle of the streets.

We never had our healthcare facilities overwhelmed.

Massive big up to the Tanzanian massive!!!!!!

We showed the world how it’s done 💪💪.

Couldn’t be any prouder!
[/QUOTE]
Ugonjwa huu si
 
Back
Top Bottom