#COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

Tukubaliane pamoja na mapungufu yote ya hayati JPM Alikuwa ni visionary leader !!
 
We hadi kubwa la mataahira wa ufipa bwana kigogo sasa hivi anaona hadi aibu kutamka neno corona maana kajiona jinsi alivyo mbumbumbu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hii muvi ya ukreine ikiisha kuna wasiwasi ikaja muvi ya uviko part 5 ila kama kawaida sterling atafia kwenye maua.....
 
We hadi kubwa la mataahira wa ufipa bwana kigogo sasa hivi anaona hadi aibu kutamka neno corona maana kajiona jinsi alivyo mbumbumbu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣

Lakini Kigogo si alishafarakana na hao wana Ufipa…au bado wako tight?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakini Kigogo si alishafarakana na hao wana Ufipa…au bado wako tight?
Mkuu kwani kigogo aliwahi kuwa chadema lini?

Ni kwa vile wafuasi wa kile chama ni mataahira ndio maana aliwateka!

Yeye chuki yake ilikuwa ni kwa mtu mmoja tu, Magu basi! Sasa kwa vile wale jamaa ni mataahira wakabwbwa wazimawazima! Sasa anawabutua mbela na nyuma kama hana akili vile[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi kawa chawa wa hangaya huku akiwapa vidonge vyao wale mataahira wake walijiofanya wanamuabudu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi tunahangika na suala la Ukraine🇺🇦 na Russia🇷🇺 kwanza haya mambo ya corona ni zilipendwa🐒
 
Hii muvi ya ukreine ikiisha kuna wasiwasi ikaja muvi ya uviko part 5 ila kama kawaida sterling atafia kwenye maua.....
Bill Gates ameshasema Dunia ijiandae kwa pandemic nyingine inayokuja ambayo itakuwa Kali zaidi ya Uviko 19,
 
Mtu anatoka huko na viroba kichwani anaanza kuimba, oh magufuli na wasaidizi wake walikufa kwa corona hivi nyie akili zinawatosha?

Hivi hamjui vifo vya kutengeneza ili ionekane ni ugonjwa? Kama corona mbona kwenye familiya yake hakuna alokufa? Mama yake mzee hivyo hiyo corona mbona haikumgusa?

Hivi tuliambiwa mkapa alikufa kwa ugonjwa upi?
 
You have the intelligence to understand this, don't you?

Hakuna pandemic ambayo imepata ku-wipe out the human race. Mwaka 1918 kulikuwa na Spanish Flu ambayo iliua wengi pia. Baada ya muda mwili hujenga kinga na kinga hiyo ikisambaa kiasi cha kutosha, kunakuwa na kinga at the population level (inaitwa herd immunity). Utafiti uliofanyika hivi karibuni Gauteng RSA, umeonyesha kuwa 70% wa wakaazi wote wa Gauteng wana antibodies dhidi ya corona sasa. Hii ni sawa na kusema kuwa 70% wamechanjwa - ama kwa chanjo ama kwa kirusi chenyewe naturally. Hii inakaribia herd immunity. Sijui kwa Tanzania lakini utafiti ukifanyika, matokeo yanaweza kuwa hayo hayo. Lakini mpaka kufikia herd immunity, kuna wengi watakuwa wamezikwa. Of course kiongozi yeyote anayechagiza watu wake wasijikinge ili herd immunity ipatikane ni mjinga na mpumbavu.
Kama upo, basi si ugonjwa hatari kama tulivyoaminishwa!
 
Mkuu umemaliza.
Kama huna utaalamu wa masuala ya afya huna haki ya kutoa maelezo ya kijinga kwamba ugonjwa haupo.
Hii ni taaluma inayohitaji wenye taaluma ndio waitolee maelezo.
Mtu kapuku analeta maelezo yasiyokuwa na ushahidi wa kisayansi na kuna wajinga wanamuunga mkono.
 
Weka chanzo cha hayo madai yako.
 
Hayajakukuta au watu wako wa karibu, Tanzania hakuna data zinazotolewa kila siku ndio maana hujui, hata States unaweza kufikiri haupo lakini mpaka leo average ya watu zaidi ya 2000 wanakufa kwa siku kutokana na COVID, ni kama Malaria tuu inaua kweli kweli kila mwaka lakini sio rahisi kujua mpaka uangalie number zinazotolewa, acha michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…