#COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?


Watu msio kuwa na shukrani mpo kila mahali kwahiyo mzee wa watu amekukosea nini mpaka
Unamwita hivo?

Kwaiyo Mzee asipewe crediti kwa mbinu zake madhubuti pamoja na
Kumtanguliza mungu mbele na kuisaidia Nchi yake kushinda ugonjwa wewe ulitaka credit apewe nani?
 
Kwanza nikupe pole mkuu kwa kuondokewa na kipenzi chako Jiwe. Lakini pia niusifu Uviko kwa kuikomboa nchi kutoka kwa yule muuaji. Mwisho niulize wewe uko Tanzania au bado wabeba box kama unavyojinadi? Mwisho zaidi uko sahihi baada ya Jiwe kufa(faraja kwa Taifa) Uviko ni kama ulihama Tanzania au dunia kiujumla na zaidi hakuna kiongozi mwingine alikufa kwa huo ugonjwa. Inaweza kuwa kuna kitu/siri hapa.
 
Ila nawe kwa kukurupuka....!
 
Ukitumia ushirikina kwenye corona badala ya science lazima ufe tu. Ndicho kilimkuta Jiwe.
 
Kasome research ya Fauci et al juu ya nini kiliwaua watu kwenye Spanish Flu...!
 

That’s what happens when scientists offer their opinions as facts. They misled the world in big ways even as they knew too little about the virus.

COVID-19 kweli ilikuwepo, lakini lethality yake ilikuwa hyped kupita kiasi. Mgonjwa yeyote aliyepimwa na kupatikana na COVID-19 na ugonjwa mwingine, ule ugonjwa mwingine automatically uliwekwa kwenye back seat na kuwa ignored kabisa hata kama ni ugonjwa ambao ungemuua mgonjwa bila kujali kama alikuwa na COVID-19 au.

Huo ugonjwa ungekuwa lethal kama ambavyo tulikuwa tunaaminishwa, Wabongo wangepukutika kama mende waliopuliziwa dawa ya kuwaua. 2020 general election campaigns zisingewaacha salama!
 
Sasa ni UVICKO-22 (Ukrain vs Russia) ko upo ulaya tu
 
Huu ni ujinga. Sababu UKIMWI siku hizi hauonyelewi kama zamani basi haujawahi kuwepo, au si ugonjwa mkali?
 
Kuhusu uchaguzi wa 2020, mtu aliye medically fragile kama Tundu Lissu alipiga kampeni nchi nzima na akamaliza bila shida yoyote ile.

So go figure!
 
Huu ni ujinga. Sababu UKIMWI siku hizi hauonyelewi kama zamani basi haujawahi kuwepo, au si ugonjwa mkali?
Mbona hata Ukimwi siku hizi siyo ishu!

Watu wanaishi nao na wanaishi maisha marefu tu na maisha ya kawaida kabisa!
 
Nilipigwa na uviko mwaka 2020 mwanzoni, ila namshukuru Mungu kwa kunivusha salama maana shughuli yake sio mchezo.
 
Uviko 19 una dalili nyingi, siyo lazima watu wadondoke njiani au walazwe hospitali. Dalili moja kubwa ya uviko 10 ni ukungu wa ubongo (brain fog) ambayo mara nyingine inaharibu kabisa ubongo wa mgonjwa. Sasa ukiangalia Watanzania wengi utaona wazi wameshapigwa na uviko 19 kwa akili zao finyu. Ni afadhali hata nchi zingine zilizojaza watu hospitali kuliko sisi tuliougua kimya na akili zetu zimedumaa.
 
Naam!

Na toka mwanzo ilikuwa hivyo hivyo.
Kwa waliopoteza wapendwa wao hii thread ni kama kejeli. Uzuri/ubaya ni kuwa kama covid haijathiri watu wako wa karibu unaona ni mambo yalikuwa sawa tu.
1. Covid ilipoingia 2020 tulipoteza watanzania wenzetu wengi. Ni kwa sababu tu ilikuwa inafichwa lakini ni wengi waliofariki. Hili nilishuhudia kwa macho yangu.
2. Awamu ya pili ya covid nayo tulipoteza watu wengi. Siyo jambo la kupuuzia hata kidogo
3. Sasa hivi covid Tanzania ni kama hakuna. Hata hospitalini kama wako waliolazwa basi ni wachache mno. Kwangu mimi nadhani hii Omicron siyo kali na mwaka jana mwishoni kuwa watu wengi sana waliugua na kupona. Hakukuwa na vifo.
 
Pole sana. Tupo wengi tuliopoteza watu wetu wa karibu. Wengi wa wanaopiga kelele hawaja-experince vifo kwa watu wa karibu. Na Tanzania walifariki watu wengi. Madhara ya uviko wa Tanzania hayajulikana kwani Magufuli aliamuru habari ifichwe. Kwa watu tuliofiwa na watu wa karibu tunajua hata vyeti vya vifo havikuandikwa wamefariki kwa uviko kutokana na amri kutoka juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…