Uvukaji wa border ya Namanga / Nairobi wengi wanaotumia hizi Noah wanamia njia haramu / Mizigo ya Magendo

Schengen

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2024
Posts
254
Reaction score
464
Habari,

Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo
Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali.

Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake.

Watu hawana document yeyote Lakini wanaenda Nairobi kama home vileTanzania ujinga mwingi sana.

Ndio wale wakipata matatizo wanakimbilia wanasiasa Ili kutengeneza scandal Kumbe wao Ndio wavunja sheria
 
Maisha ya border ndiyo yalivyo mazee

Ova
 
Acha unoko mzee,viongozi wenyewe ndio wanaongoza ,wanakula Kwa urefu ya kamba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…