Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Mbona umenijibu kama unamambo mengi, mbona unajitekenya alaf unajicheka???
Hujui kuwa hata Kupenda Kwake Kukazwa sana pia ni sehemu yake ya huko kuwa na Mambo mengi ya Kufanya Ndugu?
 
Eh ndege tunapokelea Zanzibar, mbona makubwa!
 
Mkuu wamekosa hoja wanadhani kwa kusema sukuma gang(nadharia ya kipumbavu) basi wanamtetea mtu wao kufanya madudu.
 
Ninachojua BM hajawahi hama Kijanini na anasema mama anaupiga mwingi mno
 
Kuna mambo yalifanyika pia kwenye mtandao ambayo yalinihakikishia kubwa system nzima ipo makini na imara.

Ila kila jambo liwe jema au baya matokeo ni siku, wiki, miezi na miaka hupita huonekana.

Hivyo matokeo mengi hasi baada ya kfo cha hayati kuliko matokeo chanya ni uthibitisho wa tashwishi au dukuduku la moyoni iliyopo juu ya kifo kile.

Mambo mengi yanofanywa kama kuivuruga Tanesco na kumkaribisha mhalifu wa kivita asaidie kutafsiri Sheria za sehemu nyeti yote yatiwa chunguni.

Wa kuchungwa ni mkata kuni, muwashaji moto na mkolezaji.

Tatizo ni kuwaachia hawa wapige kambi hukohuko kwenye kuni.

Ila mzee hana amani.
 
Mh!?? Ukiwa unasoma huku mitandaoni, unaweza dhani nchi inawaka moto, kumbe wala, nchi ipo shwari na imara kabisa.
 
Binafsi naona neno hayati linatumika vibaya when it comes kwa Jiwe, labda tubaki na ile maana ya kuwa na cheo kikubwa au umashuhuri tu.
Hakufa kama digidigi ndomaana anaitwa hayati, subiri afe mlala hoi kwenye ukoo wenu uone kama kuna mtu atajisumbua kumuita Hayati.

Mtu unaebeza JPM kutanguliwa na neno Hayati, ni wewe ambaye hata ukifa(kibudu) leo , humu Jf hautuwezi kuona hata uzi wa Tanzia😂. Tafuta maisha yako dogo.
 
Eh ndege tunapokelea Zanzibar, mbona makubwa!
Na ndege moja imeandikwa Zanzibar nyingine ya pili imeandikwa Tanzanite.

Awamu ya sita muungano huu ni pasu kwa pasu kwa kila hatua.

Hata teuzi sasa hivi akiteuliwa mmatumbi na mkojani lazima awepo.
 
Mh!?? Ukiwa unasoma huku mitandaoni, unaweza dhani nchi inawaka moto, kumbe wala, nchi ipo shwari na imara kabisa.
Mwananchi wa kawaida (machinga) kama wewe, utaelewaje mambo ya serikalini?

Na huenda bado unakula Ugali wa mtu.
 
Na ndege moja imeandikwa Zanzibar nyingine ya pili imeandikwa Tanzanite.

Awamu ya sita muungano huu ni pasu kwa pasu kwa kila hatua.

Hata teuzi sasa hivi akiteuliwa mmatumbi na mkojani lazima awepo.
Ndo mfanye mpango aendelee kuwepo siku zote Ili wakojani meundelee kuneemeka, asije kuingia mwingine akawafurusha.

Njia pekee ya kuliepuka hilo ni kuhakikisha mvaa ushungi anaendelea kuingoza hii nchi.
 
Government ni kitu kisichoweza kuyumbishwa kwako wewe?
 
Hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu anakosa washauri, kwani Mama kupata ushauri kwa Kikwete au mtu mwingine yeyote kuna shida gani? Kama ushauri huo unaisaidia nchi kuna tatizo gani? Hizi hisia za chuki na kuitakia mabaya nchi siyo jambo la muhimu kwetu na afadhali ukae na hisia zako moyoni kuliko kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo
 
Mh!?? Ukiwa unasoma huku mitandaoni, unaweza dhani nchi inawaka moto, kumbe wala, nchi ipo shwari na imara kabisa.
Sasa kama kumbe hili unalijua katika huu Uzi wangu umefuata nini? au Unawashwawashwa tu Kunako?
 
Ramaphosa amemteuwa Mo Dewji kuwa mshauri wake wa uwekezaji, sasa mama akishslauliwa na Rais mstaafu shida iko wapi?

Achana na wapumbavu hawa, zama zao zimekwisha.
 
Kwa mtazamo wangu Tanzania kwa sasa hakuna mwanasiasa/kiongozi mwenye akili, mbinu na maarifa kumzidi Jakaya Kikwete. Naamini nchi haiwezi kuharibika endapo JK yuko hai na kwahiyo Mama hana sababu ya kujitenga na ushauri wa JK.
 
Sawa Jakaya Kikwete Raia tumekusikia.
 
Mwananchi wa kawaida (machinga) kama wewe, utaelewaje mambo ya serikalini?

Na huenda bado unakula Ugali wa mtu.
With I'll motive, hamna jipya.

Naona mwanchi usie wa kawaida, unashangilia illusion s za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…