Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So na Amin yule wa Uganda na yeye ni hayati? Yawezekana na wewe ulishiriki kumwita shujaa wenu wa AfrikaHakufa kama digidigi ndomaana anaitwa hayati, subiri afe mlala hoi kwenye ukoo wenu uone kama kuna mtu atajisumbua kumuita Hayati.
Mtu unaebeza JPM kutanguliwa na neno Hayati, ni wewe ambaye hata ukifa(kibudu) leo , humu Jf hautuwezi kuona hata uzi wa Tanzia[emoji23]. Tafuta maisha yako dogo.
Hamuamini kuwa ni kifoLeo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Business monopolistic iko mahali koteNdugu inawezekana ni kweli kabisa.
Kuna vitu vinaashiria kuwa ana ushauri mkubwa.
Hivi juzi Kati kuna nchi iliomba Watanzania waruhusiwe kuuza mchele na kuku nchini humo kama matokeo wawakilishi walienda kufanya mazungumzo na hiyo nchi(jina kapuni) baada ya kufikia muafika hiyo team ilivyo rudi bongo mzee wa rimoti akapanga safari kwenda huko kwenye hilo soko akiwa na jina la kampuni yake mfukoni. Baada ya kufika huko akapendekeza kuwa hiyo Kazi ya ku supply hivyo vitu ifanywe na hiyo kampuni tu na si mtanzania yeyote.
Mpango wake ulitiki. Binafsi hili suala limenisikitisha Sana kwa kiongozi mkubwa kama huyo kuziba fursa za wafanya biasha wengine. Ni hatari sana
Ulitaka nani ateuliweMsoga gang wamerudi on fire, tulimwona yule joka la mdimu wa goli la dk ya 89 kule akimwimbia mama mapambio kwa bashasha zote.......na kwenye kuziba pengo lililotokea hivi karibuni kuna uwezekano mkubwa member mwingine kutoka timu msoga gang akatimba ndani, hii ndo inaitwa 'return of the roman empire' tunaenda kuwa koloni la wachina....
Kikwete kamuibua Magufuli Leo kikwete Mbaya Magufuli Mzuri hatuna shukraniAcha izo Genta! Mambo ya watu wenye chuki zao dhidi ya Mzee wa watu ndo unaleta humu!
Hatari kwenye mambo ya kutunga yasiyo na kichwa wala miguu? Embu acha kuleta mambo ya kijinga humu!
Waambie hao watu ukabila na ukanda hauna nafasi Tanzania na watulie Kweli.
Dah! Mrembo una vipaji lukuki mpaka basi! Yaani kwenye michezo upo, burudani upo, siasa upo! Kwa Wahubiri upo!!Mpaka nimeandika jua kuna Hatari Ndugu.
Wewe bado mdogo tafuta hela usaidie nduguzakoLazima tujitenge ,tunahitaji sukuma land Uhuru wetu, tunataka kanda ya ziwa Uhuru wetu...
Anayekubokoa 24/7 Yeye ameshakuacha?Dah! Mrembo una vipaji lukuki mpaka basi! Yaani kwenye michezo upo, burudani upo, siasa upo! Kwa Wahubiri upo!!
Hivi unapata hata muda wa kuwapikia watoto chakula kweli? Yaani ningekua mimi ndiye mume wako wa ndoa, ningesha kumwaga kitambo.
Hayati hakuondoa watu wa JK..?Refer mabadiliko kadhaa huko juu kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na Hayati
Dah! Nimekutafuta sana mrembo wangu mpaka umekuja na kujaa mwenyewe kifuani kwanguAnayekubokoa 24/7 Yeye ameshakuacha?
Hakuna Mpwani anawezaongoza nchi hii. Kwa ushahidi, kipindi chote cha uongozi wa Wapwani nchi ilienda harijojo. Mpaka mtu atoke Kanda ya Ziwa ndio nchi inatulia. Ushawahi kujiuliza kwanini Mzee wa Msoga alienda kupiga magoti Chato 2015?Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Hayati kaacha msiba mzito sana kwa Vijana wake... maana wengi waliishi kwa kumsifia , sasahivi ni kimya kimya tu nchi inasogea.. Hakuna ikikupendeza, wala zile ninaomba sijui KM moja ya barabara, mara ninaomba shule, wakati hayo mambo ya lazima kwa Serikali... Tumshukuru mungu.Hakuna Mpwani anawezaongoza nchi hii. Kwa ushahidi, kipindi chote cha uongozi wa Wapwani nchi ilienda harijojo. Mpaka mtu atoke Kanda ya Ziwa ndio nchi inatulia. Ushawahi kujiuliza kwanini Mzee wa Msoga alienda kupiga magoti Chato 2015?
Manabii na watu wote maarufu duniani hawakuwa maarufu enzi za uhai wao, bali umaarufu wanaupata baada ya kuwa wamefariki na watu wengine wenye akili wanapozaliwa na kuanza kuyatafari aliyoyafanya aliyepita. Socrates, Plato na Aristotle ni mfano mmojawapo. Yesu Kristi pia. Unataka mifano mingine?Hayati kaacha msiba mzito sana kwa Vijana wake... maana wengi waliishi kwa kumsifia , sasahivi ni kimya kimya tu nchi inasogea.. Hakuna ikikupendeza, wala zile ninaomba sijui KM moja ya barabara, mara ninaomba shule, wakati hayo mambo ya lazima kwa Serikali... Tumshukuru mungu.
Kuna mazuri ameyafanya atakumbukwa nayo kama wengine watangulizi wake waliyoyafanya kwani shida iko wapi ? Watanzania tuko milioni 60 tunaendeleza gurudumu.. Mnataka kufanya kama tunatawaliwa na Mfalme, Katiba mpya ije tu iweke vipengele vzr tutoke kwenye HUJIMA ambao almanusura tunge zama.. Mungu aendelee kushukuliwa...Manabii na watu wote maarufu duniani hawakuwa maarufu enzi za uhai wao, bali umaarufu wanaupata baada ya kuwa wamefariki na watu wengine wenye akili wanapozaliwa na kuanza kuyatafari aliyoyafanya aliyepita. Socrates, Plato na Aristotle ni mfano mmojawapo. Yesu Kristi pia. Unataka mifano mingine?
Kwa uwezo wako ni sawa kumbeza JPM, lakini amin nakwambia, Historia ya Tanzania itamkumbuka. Historia ya Afrika itamkumbuka na Historia ya Ulimwengu itamkumbuka bila kujali wewe mwenye uwezo mdogo wa kufikiri wa leo unamsemaje!
Hilo sio suala la Mungu,Nimepitia huu uzi, nimegundua magufuli alikuwa anaenda kuwa Rais wa maisha na kuibadili katiba.... maana Misukule yake hawaamini kama hayupo tena, wanatamani afufuke. Hakika tutaendelea kumshukuru mungu daima..
Hatari kweli kweliNdugu inawezekana ni kweli kabisa.
Kuna vitu vinaashiria kuwa ana ushauri mkubwa.
Hivi juzi Kati kuna nchi iliomba Watanzania waruhusiwe kuuza mchele na kuku nchini humo kama matokeo wawakilishi walienda kufanya mazungumzo na hiyo nchi(jina kapuni) baada ya kufikia muafika hiyo team ilivyo rudi bongo mzee wa rimoti akapanga safari kwenda huko kwenye hilo soko akiwa na jina la kampuni yake mfukoni. Baada ya kufika huko akapendekeza kuwa hiyo Kazi ya ku supply hivyo vitu ifanywe na hiyo kampuni tu na si mtanzania yeyote.
Mpango wake ulitiki. Binafsi hili suala limenisikitisha Sana kwa kiongozi mkubwa kama huyo kuziba fursa za wafanya biasha wengine. Ni hatari sana