Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya chadema, mtu akiwa na wazo tofauti ni sukuma gang....nyumbu ni nyumbu tuSukuma Ganga at their best!! Mnatama aje USUKUMANI kuja kutaka ushauri!!
Acheni nchi ipumue mlitesa watu sana, mna roho mbaya sana,,
Mwacheni mama aongoze nchi kwa wakati wake sasa!! Mlifanya haramu nyingi ndo maana Mungu akawaibisha mchana kweupe!!
Harafu utawasikia wanazungumzia CHADEMA kutoboa wakati wanawakashifu wana kanda ya ziwa!Shida ya chadema, mtu akiwa na wazo tofauti ni sukuma gang....nyumbu ni nyumbu tu
Kwa hali ya kawaida mama angemletaje makama kama sio ushauri wa kikwetu .mama alipomteua makama kila mtu alinyongonyea kwa kweliHivi rais wa nchi huwa ni "empty set" hadi ategemee ushauri toka kwa watangulizi au kundi la watu fulani? Yeye hana maono yoyote kwa taifa?
Enzi za Magufuli tulisikia anashauriwa vibawa, mara wanaomshauri wanamdanganya. Kuna wale waliotabiri kuwa Magufuli angekuwa controlled remotely from Msoga.
Leo tena mnadai mama anaendeshwa toka Msoga. Je, wote wanaoshika nafasi hii adhimu ni empty y kiasi cha kuendeshwa na mtu fulani?
Kama ni empty set, nini kifanyike ili tupate kichwa chenye kujiendesha kuongoza taifa?
Haiwezekani kufufuka, hata mbowe akifa hawezi kuendelea kuwa mwenyekiti.Hivi ikatokea tu kama zali magu akafufuka! Ataendelea kuwa rais wa jmt? Maana naona kama watetez wake wana matumain kweli kweli! Maendeleo haya chama
Sasa manunguniko, vilio, maombolezo,mauchungu na wivu ni vya nin? Wakati mnajua kabisa msela kaenda kuzimu hawez rejea tena hapa nchini? Mnakuwa kama wanawake waliochika kwa makosa ya wivu! Achen hzo bhana! Jamaa kaded! Kadedi tu! Harudi ng'o!Haiwezekani kufufuka, hata mbowe akifa hawezi kuendelea kuwa mwenyekiti.
Waislamu ni wengihapo kwenye udini umekosea. hakuna marais wenye udini kama wakristo. hebu angalia wenye ajira serikalini kat ya wakristo na madhehebu mengine na wengi
Sawa Kigogo Tumekuelewa.
Hivi kigogo yupo tena? mbona sioni akipost swaga zake? Ina maana hana cha kupost? Kulikoni bandugu huyu asiejulikana?Kigogo yuko timu msoga
MkUu wanaosema sukuma gang ni CCM mikataba makengeza, wengi ni waumini wa dhehebu la Msoga!Shida ya chadema, mtu akiwa na wazo tofauti ni sukuma gang....nyumbu ni nyumbu tu
Afadhali kuwa nyumbu kuliko kuwa Sukuma Gang,Shida ya chadema, mtu akiwa na wazo tofauti ni sukuma gang....nyumbu ni nyumbu tu