Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Sukuma Ganga at their best!! Mnatama aje USUKUMANI kuja kutaka ushauri!!
Acheni nchi ipumue mlitesa watu sana, mna roho mbaya sana,,

Mwacheni mama aongoze nchi kwa wakati wake sasa!! Mlifanya haramu nyingi ndo maana Mungu akawaibisha mchana kweupe!!
Shida ya chadema, mtu akiwa na wazo tofauti ni sukuma gang....nyumbu ni nyumbu tu
 
Kwa hali ya kawaida mama angemletaje makama kama sio ushauri wa kikwetu .mama alipomteua makama kila mtu alinyongonyea kwa kweli
 
Hivi ikatokea tu kama zali magu akafufuka! Ataendelea kuwa rais wa jmt? Maana naona kama watetez wake wana matumain kweli kweli! Maendeleo haya chama
 
Hivi ikatokea tu kama zali magu akafufuka! Ataendelea kuwa rais wa jmt? Maana naona kama watetez wake wana matumain kweli kweli! Maendeleo haya chama
Haiwezekani kufufuka, hata mbowe akifa hawezi kuendelea kuwa mwenyekiti.
 
Huwa nasema watu weusi tuna shida sana.. inawezekana mataifa yetu haya in 100 years yakawa yana hali mbaya sana kiuchumi, kijamii...kama watu wako busy kurudisha uchafu wa kila aina kwenye taifa, tuna akili kweli?
 
Haiwezekani kufufuka, hata mbowe akifa hawezi kuendelea kuwa mwenyekiti.
Sasa manunguniko, vilio, maombolezo,mauchungu na wivu ni vya nin? Wakati mnajua kabisa msela kaenda kuzimu hawez rejea tena hapa nchini? Mnakuwa kama wanawake waliochika kwa makosa ya wivu! Achen hzo bhana! Jamaa kaded! Kadedi tu! Harudi ng'o!
 
hapo kwenye udini umekosea. hakuna marais wenye udini kama wakristo. hebu angalia wenye ajira serikalini kat ya wakristo na madhehebu mengine na wengi
 
Inaonyesha ni jinsi gani bado ujinga unawasumbua hasa mkiiingia kwenye ushabaiki,
Siasa mmekuwa mnasema ni maisha sasa kama wanasiasa wanahalibu ujue hata wewe ambae hujui siasa utaathirika

Vitu viko bei juu na huduma za umeme zinasumbua unadhani huyo mwanasiasa anaumia na hilo ili hali kakuziba masikio?
 
Wai
hapo kwenye udini umekosea. hakuna marais wenye udini kama wakristo. hebu angalia wenye ajira serikalini kat ya wakristo na madhehebu mengine na wengi
Waislamu ni wengi
Twambie zanziba ni mkristo gani yuko huko kwenye serikali.
 
Sisi yetu macho kila lenye mwanzo lina mwisho.kumpata raisi kama jpm miaka itapita mingi sana, kizazi cha kifisadi lazima kwanza kiishe.
Siasa ni kama wazazi wenza mtoto lazima awe kiunganishi mmoja akiwa na kiburi mwingine anakoma kutoa matumizi, kiburi kikizidi utasikia mmoja nakuja kumchukua mwanangu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siasa bana zataka moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…