hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Watu wa kanda ya ziwa ndo kina nani?Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Nyie ni wapumbavu tu na hamuwezi kufanya chochote zaidi ya kujijaza ujinga.
Eti magu kauliwa.
Mtu kaidharau covid imemuangusha mnakuja na dhahania zenu.
Kubalini tu kwamba si zamu yenu kutamba tena.