Watu wa kanda ya ziwa ndo kina nani?Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Muhusika mama samia na makamba.Kwa zile Kashfa, matusi mazito, kejeli, kuvuja kwa siri nzito za serikali kutokea sehemu ambayo huwezi dhania.
Kisha leo ghafla ukurasa uleule unageuka kuwa rafiki wa serikali mpya baada ya kifo cha Hayati Magufuli inatia mashaka sana nani ni mhusika wa ukurasa ule?
Aendelee kupumzika Shujaa wa Tanzania mpya.
Aisee niandalie tende na halwa pamoja na kahawa, najiandaa kuja huko. Kama utaweza pia naomba niwekee na al kasusi.Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Ni majungu tu.
Ukimsikia mtu mzima anakwambia hivyo wewe mjibu "jiheshimu, acha majungu"
Hata magufuli alikua anaendeshwa na mkapa.Kuna Hatari fulani nimeanza Kuiona, kuna maneno fulani nimeanza Kuyasikia na kuna Mipango fulani ya Kukomoana na Kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza Kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni Tv Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama Watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja ( kutokea )
Na Wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!!!
leta fact,mbona una act Kama kindagatenAsante kunisaidia kuwajibu hao sukuma Gang,..kipindi cha mwenda zake walijiona wenyewe ndo vijeba[emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi naona neno hayati linatumika vibaya when it comes kwa Jiwe, labda tubaki na ile maana ya kuwa na cheo kikubwa au umashuhuri tu.Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
NdUGu mighter weye ndie mwl. Yule was SoMo la uongozi?Mpaka nimeandika jua kuna Hatari Ndugu.
Ukisikia UPUMBAVU ndio huu sasa.Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Hakuna kibaya chochote kilitendeka kwa Hayati Magufuli,siku za uhai wake duniani zilikwisha,sasa hivi yupo ktk maisha ya kaburini na siku hizi zitaisha halafu atakwenda ktk maisha ya milele.Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Acha uzwazwa wewe kololikoKwa Ubongo Uharo ulionao kamwe hutoweza kunielewa na ni vyema tu ukakaa Kimya au ukawapisha wale Brainy Members wa JF walionielewa waujadili (wajadili) sawa?
Wewe Sukuma Gang usawa ndio mnaujua na kuutaka kipindi hiki,wakati wa marehemu mungu wenu wa Chato mbona hamkukemea udhalimu na ubaguzi uliokuwa unafanyika wazi wazi?Hii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Kweli wewe zwazwa,kwa hiyo kampuni wanazalisha mchele peke yao hapa Tanzania,je mazao mengine kama korosho kila mkulima anapeleka mwenyewe sokoni huko nje ya Nchi?Ndugu inawezekana ni kweli kabisa.
Kuna vitu vinaashiria kuwa ana ushauri mkubwa.
Hivi juzi Kati kuna nchi iliomba Watanzania waruhusiwe kuuza mchele na kuku nchini humo kama matokeo wawakilishi walienda kufanya mazungumzo na hiyo nchi(jina kapuni) baada ya kufikia muafika hiyo team ilivyo rudi bongo mzee wa rimoti akapanga safari kwenda huko kwenye hilo soko akiwa na jina la kampuni yake mfukoni. Baada ya kufika huko akapendekeza kuwa hiyo Kazi ya ku supply hivyo vitu ifanywe na hiyo kampuni tu na si mtanzania yeyote.
Mpango wake ulitiki. Binafsi hili suala limenisikitisha Sana kwa kiongozi mkubwa kama huyo kuziba fursa za wafanya biasha wengine. Ni hatari sana