Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Kamfufueni mungu wenu aje apambane nao, mna chuki Sana na Kikwete na Samia
 
Uzuri mama anafahamu vizuri, hatuhitaji kura kushinda uchaguzi wa Urais.

Anayeleta porojo hizi anajidanganya mwenyewe.

Kwanza ieleweke Mama ndio Chifu mkuu wa Wasukuma wote A. k. A Chifu Hangaya.

Nani anaweza kwenda kinyume na chifu wake.
 
Binafsi sijaona tatizo lolote hata kama Rais Samia anaomba ushauri kwa JK, Sababu duniani kote marais walioko madarakani hawezijitenga na watangulizi wake kwakua ndio hazina ya ushauri wa mambo mbalimbali!
Hawa Sukuma Gang Wana chuki na Kikwete, wanachuki pia na Samia,


Dawa mama apige chini masalia wote wa mwendazake, awarudishe watu kama kina Nape kwenye serikali pia
 
Lilikuwa linataka lionekane yeye tu kwenye Media
Juzi waziri wa usafirishaji Makame Mbalawabkapokea mabehewa bandarini, na leo Rais Mwinyi ndio anapokea ndege Zanzibar.

Enzi za utawala wa shetani matukio yote haya angetaka awe yeye na tv zote mumuoneshe live.

Mama yuko vizuri sana, kesi ya Mbowe tu ndio inamtia dosari na anaweza kuiondowa hiyo dosari kupitia DPP.
 
Asante kunisaidia kuwajibu hao sukuma Gang,..kipindi cha mwenda zake walijiona wenyewe ndo vijeba😂😂😂
Sukuma gang ni Kama mafukuriko huwezi yakwepa,ndiyo maana mtemi Hangaya kaenda Kanda ya ziwa Mara nyingi zaidi kuliko Kanda yoyote.Mtemi Hangaya anajua ukiweza kushawishi Kanda hii ushindi ni asubuhi.
Jiulize mkoa uliotoka Hangaya kafika Mara ngapi?
 
Sie tunawaomba wapinzani vyama vyote wajitahidi 2025 hata wasimamishe mawe tu ilimradi yakiwepo sie hatutakuwa na hiana. Serikali iliyoamua kutumia mtindo wa majibizano na majivuno kama waimba taarabu dawa yao tushaijua ..tunaanza na uchaguzi wa ndani 2022
 
Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.

Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Sukuma gan'g mbona mnahangaika sana, tulieni dawa iwaingie kila zama na kitabu chake
 
Ss kama mlikuwa mnahujumiana wenyewe kwa wenyewe mlitaka tuwasaidiaje?,hebu tulieni hizi zama nyingine ukurasa wenu ukishafungwa
 
Duh...isije ikawa kwenye Uzi huu Kuna wabwia unga na wanywa kangara
 
Na ww ni mnafiki hili ni jukwaa huru, kwanini usiitaje hio kampuni au jina la mmiliki
 
Tatizo la nyie Sukuma Gang hamtaki kukosolewa,..ona comments zako zinavyo kuumbua
Hivi,ma Kima kma wewe huwa najiuliza ulijua vipi hata kama kuna JF???
Angalia uharo unao.kunya hapo kisa umeshika keyboard.
Pumbavu sana.
 
Acha izo Genta! Mambo ya watu wenye chuki zao dhidi ya Mzee wa watu ndo unaleta humu!

Hatari kwenye mambo ya kutunga yasiyo na kichwa wala miguu? Embu acha kuleta mambo ya kijinga humu!

Waambie hao watu ukabila na ukanda hauna nafasi Tanzania na watulie Kweli.
 
Bahati nzuri ccm wala haiitaji kupigiwa kura kushinda uchaguzi.

Iko hivi, mama anamalizia miaka minne ya chizi wa Chato.

2025 anaanza mitano ya kwake, 2030 mitano tena jumla 10, halafu wazalendo wa kweli wa Taifa hili tunampa mitano mingine ya shukrani mpaka 2035.

Kwahiyo wasukuma mngeelekeza nguvu zenu katika ujenzi wa vyoo kwa wakazi wa pembeni ya ziwa Victoria waache tabia ya kunya ziwani.
 
Mikwara si mizuri, mijadala ni afya kwa taifa. Jibu kwa hoja ndio ustaarabu.
Mwandishi amepost majungu hivyo ulitakiwa kumjibu kuwa aache majungu.
 
Hakuna kitu kibaya Wala taaa Nyekunduu watu wa Kanda ya ziwa gani unaowaongelea? Malipo ni hapa hapa Duniani
 
Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.

Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Ndugu ulichokiandika katika Paragraph yako ya Pili kipigie Mstari kwani ndiyo Ukweli wenyewe na Wenyewe kimya kimya wanasema wanajiandaa Kulipiza Kisasi ( japo Mightier ) sijajua ni aina gani ya Kisasi.

Yangu Macho....!!!!
 
Mazuri gani ambayo Rais Mstaafu Kikwete kafanya kwa Tanzania alipokuwa Rais?

Next time try to hide your Stupidity Ok?
 
You nailed it Bro
 
Kuna ambacho hatukioni nyuma ya Samia kuwepo JK. Ni amani na utulivu wa Tanzania. Miaka yanyuma kidogo wakati Mkapa na Magufuli walipokuwa wamepiga picha ya pamoja. Walikuwepo marais wanne wenye nyuso zenye tabasamu.Huwezi kuipata picha ya aina ile kwingineko barani afrika. JK anamsaidia Rais Samia akiwa na hazina ya uzoefu wa diplomasia na masuala mengi ya kiuongozi.

Usidhani kuwa urais ni shughuli nyepesi, ni nzito sana huwa hawalali usiku kucha anapitia mafaili na kusaini kila aina ya document.
 
Mtu aliyejenga Bara Bara nchi nzima shule za kata Nchi Nzima Chuo kutoa Ajira Maelfu Kila mwaka huyo ndio unasema hafai kuwa mshauri? Ebu jifikirieni vizur it is over it is over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…