Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Maskini nyie si mtakufa ? Kwanza una habari mwaka huu kuna ukame huko kwenu? Tuone kama mtakula dhahabu kenge nyie.
Nchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
 
Nilikutana na mwana Medani Mmoja tena Mwandamizi tu Ndugu na alichoniambia kuhusu Mpango uliokuwepo wa Kumuwahisha Mwamba Udongoni Geita na Kunitajia Wasuka Mipango Wakuu kama Wanne hivi nimebaki Kushikwa na Butwaa tu.

Ila aliniambia kuwa lawama zao pia wanazipeleka kwa Mwamba Usingizini kwani walishamuonya mara nyingi kuwa nao Makini ila Yeye hakuwasikia na badala yake akaendelea Kuwaamini na Mmoja wao katika huo Mpango anatokea huko huko katika Kanda yake yenye Ziwa la Mwanamke wa Kiingereza.

Pumzika zako tu Mwamba watakulipia.
 
Mama Samia asimshukuru JK kwa urais wake, amshukuru sana Meja Jeneral Mabeyo aliucheza mchezo wote baada ya kifo cha JPM.

Ndiye aliyefanya mipango ya kumpiga shaba Mama ikwame na akapelekwa kwenye nyumba moja akatangaza kifo cha aliyekuwa bosi wake.

Waliokuwa karibu na hayati sio watu wazuri hata kidogo, walichosahau ni kuwa nchi hii iliwekwa chini ya Ulinzi maalum wa Mama Bikira Maria tangu usiku wa kuamkia tarehe 9-12-1961.
 
Nchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
Wanoongoza kwa kupata njaa na umaskini wanaweza kumlisha nani? Nimekwambia una habari kwamba mwaka huu huko kwenu kuna ukame? Umeshajiandaa kisaikolojia lakini au unajifariji hapa?

Uchumi gani mnaochangia nyie kenge? Ona hapa chini 👇

aiseeeee
 
Lazima amshukuru JK ndio msuka mipango,akina Mabeyo ni zao la JK huko Jeshini .
 
huna akili wewe, subr uone show 2025. Sukuma gang n kama maji utake usitake utayanywa tuuu, ndo wenye turufu ya uongoz wa nchi kama ulikuwa hujui.
 
Punguza hasira shekh wangu muungano wa taifa hili chimbuko lake ni kanda ya ziwa kwa maana ya kiongozi shupavu Mwl JK Nyerere

kuweni wavumilivu tu kwenye hii vita ya TEAM BARA na TEAM PWANI
 
Katika namba
Kikubwa iwe usiku iwe mchana kanda ya ziwa lazima tujitenge...
 
😀😀😃😃 Vipi ulinzi wa mahelikopta,jammers,majeshi,sijui wanyarwanda na takataka zingine havikuwasaidia?

Mapunguani nyie
 
Nimekuogopa kwa taarifa hii Uliyo andika hapa ✍🏾
 
Nimemuelewa anapoongelea wasukuma. Hao wana mikoa mitano ya kabila lao pekee, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Simiyu na Geita. Jumlisha hiyo mikoa mitano yote ni ya kabila la wasukuma.
 
Katika namba

Kikubwa iwe usiku iwe mchana kanda ya ziwa lazima tujitenge...
Utaishia kujifariji kwenye mitandao kama wenzio machadema ila kamwe huwezi thubutu hata kuongea popote zaidi ya humu na tukitaka kukutafuta tutakupata but ni vile hauna impacts tunakupoteszea.

La sivyo anzisha hata thread hapa ya kujitenga uone moto
 
Refer mabadiliko kadhaa huko juu kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na Hayati
 
Punguza hasira shekh wangu muungano wa taifa hili chimbuko lake ni kanda ya ziwa kwa maana ya kiongozi shupavu Mwl JK Nyerere

kuweni wavumilivu tu kwenye hii vita ya TEAM BARA na TEAM PWANI
Sheikh uvumilivu ni mgumu, suluhu hapa ni jujitenga tu hali hii kwa baadaye itakuwa mbaya sana, kanda ya ziwa baadaye hatutashika nyadhifa zotezote katika nchi hii, suluhu yetu ni kujitenga ,kanda ya ziwa tunajitisheleza kwa rasilimali tulizonazo..
 
Nimemuelewa anapoongelea wasukuma. Hao wana mikoa mitano ya kabila lao pekee, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Simiyu na Geita. Jumlisha hiyo mikoa mitano yote ni ya kabila la wasukuma.
Hakuna kabila lenye mikoa 5,tangu lini Tabora inakaliwa na wasukuma? Sasa mikoa 5 ndio inaweza fanya nini hapa Tzn?

Mwambie aanzishe thread hapa jukwaani asijifiche kwenye vi comment uchwara humu.
 
Utaishia kujifariji kwenye mitandao kama wenzio machadema ila kamwe huwezi thubutu hata kuongea popote zaidi ya humu na tukitaka kukutafuta tutakupata but ni vile hauna impacts tunakupoteszea.

La sivyo anzisha hata thread hapa ya kujitenga uone moto
Ila amini na weka akili, mkiendeleza itikadi zenu za kikanda nakuundermine watu wa kanda ya ziwa, IPO siku mpasuko mkubwa katika taifa hili utatokea, soon kanda ya ziwa itatambulika kama taifa huru....
 
Shekh kwa kifupi hii ni story ndefu saana inayohusisha watu kibao ndani ya nchi pia na nje ya nchi pia

Kuhusu juu ya tahadhali ilikuwa ni nje ya uwezo wake

Kwa imani tunaamini maisha ya mwanadamu yapo mikononi mwa Mungu

Lakini mtaani tunaamini maisha ya mtu yapo mikononi mwa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…