Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....
Pengine wana maslahi na hilo jambo na liko funded kwa maslahi flani ILA JOHN kuwa msukuma au kutokuwa haina maana ubaya au uzuri wake ni wa wasukuma wote hilo jambo lina makusudi maalum na tutayaona kuelekea 2025
 
Unataka kusema huyo Mungu wenu sio dikteta?

Mtu aliyekuwa anavunja katiba hadharani sio dikteta? Au mwenzetu hukuona kipindi anavunja katiba.

Mtu aliyeiba kura kipumbavu kujaza mi CCM bungeni sio dikteta?
Emu tuthibitishie we msoga gang, alivunja katiba wapi??
 
Nimeshakwambia wewe sio msukuma, achakujifichia kwenye hicho kivuli wewe upo kwenye hilo genge la wahuni mkwere gang, sisi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na wajinga kama wewe,mzee au circuit yako ya tribe kwenye brain yako imecollapse???, we si juzi uliniambia tribe yako mkwere wa msoga ??, sisi sukuma land hatuwezi kuwa na wenu kama .
Kwani mtu ukiwa msukuma lazima umpende dikteta uchwara?

Yaani nilipende jitu katili lenye roho mbaya eti kisa tunashare kabila. Huo ujinga sina.
 
Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....
Huyo mshamba alikuwa ni Mrundi aliyejificha kwenye cover ya usukuma kwa sababu hakuww Mtanzania.
 
Kwani mtu ukiwa msukuma lazima umpende dikteta uchwara?

Yaani nilipende jitu katili lenye roho mbaya eti kisa tunashare kabila. Huo ujinga sina.
Wewe msoga ngang aka mkwere tuthibitishie ukatili wake upi ?? Au ulitolewa kazini kwa vyeti feki??
 
Nimeshakwambia wewe sio msukuma, achakujifichia kwenye hicho kivuli wewe upo kwenye hilo genge la wahuni mkwere gang, sisi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na wajinga kama wewe,mzee au circuit yako ya tribe kwenye brain yako imecollapse???, we si juzi uliniambia tribe yako mkwere wa msoga ??, sisi sukuma land hatuwezi kuwa na wehu kama wewe
Una uhakika 'shujaa' alikuwa ni ngosha?
 
Kondoo jike wewe,hatuna wasukuma wapuuzi kama wewe ,wewe ni chawa wa msoga gang, iv unajua maana ya dikteta ??, au umekalilishwa kwa propaganda za mkwescist , acha upuuzi kuwa chawa kufa utakufa tu, kifo hakikwepeki...
Hawa ndo wale wanao wasifia wazungu walio waita nyani
 
Back
Top Bottom