Tutolee kelele hapa na mauongo yako ya kila siku. Eti watu wa kanda ya ziwa! Mfyuu?Aiseee
Watu wa kanda ya ziwa kipindi hiki tumekuwa undermine sana, kelele hizi zikiendelea na viongozi wakazipuuzia IPO siku nchi hii itagawanyika kikandaTutolee kelele hapa na mauongo yako ya kila siku. Eti watu wa kanda ya ziwa! Mfyuu?
We ni mpumbavu,lile jitu lenu wakati linafanya upendeleo mbona hukuliambia liache? Kwanza serikali zote zilizopita uliwahi kuona lini zinapendelea?Ila amini na weka akili, mkiendeleza itikadi zenu za kikanda nakuundermine watu wa kanda ya ziwa, IPO siku mpasuko mkubwa katika taifa hili utatokea, soon kanda ya ziwa itatambulika kama taifa huru....
Jibu moja tunataka kanda ya ziwa tujitenge na tujenge taifa la asari na maziwa na kama unavofaham desturi zetu sisi ni watu wakazi soon taifa letu jipya litakuwa ulaya ndogoWe ni mpumbavu,lile jitu lenu wakati linafanya upendeleo mbona hukuliambia liache? Kwanza serikali zote zilizopita uliwahi kuona lini zinapendelea?
Si ni huyo mtu wenu ndio alileta huo ujinga,Mkapa angependa kupendelea kwao Mungepata hata barabara? Maana hadi 2012 kulikuwa mavumbi huko Kanda ya Ziwa.
Siyo kweli kuwa watu wa Kanda ya ziwa wanachukiwa....Mimi sitoki Kanda ya ziwa ila watu wa Kanda hii huwa nawaona poa sana...ila Kuna watu wa mkoa Fulani waliokuwa wamejazana kwenye sekta mbalimbali hasa zinazohusiana na fedha kama bandari , TRA, hazina, Na kadhalika...kundi hili lilimchukia JPM aliyetoka Kanda ya ziwa na ambaye aliendesha Vita dhidi ya mafisadi...sasa watu wa kundi hili kutoka mkos huo Fulani liliteseka kipindi Cha JPM kwa kuwa lilikuwa na wakwepa Kodi na mafisadi...kundi hili lilikuwa linajimilikisha raslimali za nchi kwa kukwep kodi, kupeana tenda za serikali na faida nyingine nyingi kiuchumi na kibiashara...ni kutoka na hali hii ndipo likaanzisha propaganda za kinachoitwa Sukuma gang na kadhalika...Kwanini viongozi wakitoka kanda ya ziwa wanachukiwa kama hawatutaki watu wa kanda ya ziwa, basiwatuache tujitawale #Tunataka Uhuru wetu tunataka kanda ya ziwa nchi yetu, tujitawale tuone tutakavyo piga hatua kuliko nyinyi watanzania, nadhani tutakuwa Taiwan mpya
Haya waeleze watu wa Chadema, mimi siyo Chadema bali ni Mtanzania mzalendo wa kweli ninayejitambuwa.Halima Mdee na wenzake 18 wana akili sana!
Umekazana mno na watu wa kanda ya ziwa. Eti wamekuwa undermined, kivipi? Achana na fikra mgando ndugu. Labda wewe peke yako ndio mwenye fikra hizo.Watu wa kanda ya ziwa kipindi hiki tumekuwa undermine sana, kelele hizi zikiendelea na viongozi wakazipuuzia IPO siku nchi hii itagawanyika kikanda
Umeshasahau kama huyu mama Samia ndio Chifu wenu mkuu wasukuma wote?! Anaitwa Chifu Hangaya.Nchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
Corona huwa haipendi dharau wala haiwavumilii wenye kibri.Shekh kwa kifupi hii ni story ndefu saana inayohusisha watu kibao ndani ya nchi pia na nje ya nchi pia
Kuhusu juu ya tahadhali ilikuwa ni nje ya uwezo wake
Kwa imani tunaamini maisha ya mwanadamu yapo mikononi mwa Mungu
Lakini mtaani tunaamini maisha ya mtu yapo mikononi mwa mtu
Huyo ni chifu wenu, lakin sisi kanda ya ziwa hatumtambuiUmeshasahau kama huyu mama Samia ndio Chifu wenu mkuu wasukuma wote?! Anaitwa Chifu Hangaya.
Kumbuka na wewe utakufa tu,kifo hakikwepeki , usione furaha kwa mwanadamu mwenzako kutangulia mbele za haki lakini kumbuka kifo ni siri kubwaCorona huwa haipendi dharau wala haiwavumilii wenye kibri.
Mfugale, Kijazi, Anna Mghwira nani kawauwa hawa?
Au mlidhani huyo mungu wenu hatokufa?
Pumbavu kabisa.
Wewe sio msukuma..,wewe ni chawaMimi ni msukuma ila hiki unachokiandika ni ujinga mtupu.
Ulihama na kigogo!Haya waeleze watu wa Chadema, mimi siyo Chadema bali ni Mtanzania mzalendo wa kweli ninayejitambuwa.
Corona huwa haipendi dharau wala haiwavumilii wenye kibri.
Mfugale, Kijazi, Anna Mghwira nani kawauwa hawa?
Au mlidhani huyo mungu wenu hatokufa?
Pumbavu kabisa
Kwa akili zako fupi unawaza ukichanjwa ndo hutokufa komaa na huyo bibi yakoCorona huwa haipendi dharau wala haiwavumilii wenye kibri.
Mfugale, Kijazi, Anna Mghwira nani kawauwa hawa?
Au mlidhani huyo mungu wenu hatokufa?
Pumbavu kabisa.
Ni chawaa kwa vile nimekuambia ulichoandika ni ujinga.Wewe sio msukuma..,wewe ni chawa
Kwa akili zako fupi unawaza ukichanjwa ndo hutokufa komaa na huyo bibi ya
Kondoo jike wewe,hatuna wasukuma wapuuzi kama wewe ,wewe ni chawa wa msoga gang, iv unajua maana ya dikteta ??, au umekalilishwa kwa propaganda za mkwescist , acha upuuzi kuwa chawa kufa utakufa tu, kifo hakikwepeki...Ni chawaa kwa vile nimekuambia ulichoandika ni ujinga.
Mimi ni msukuma ila sikuwahi kumpenda mwendazake, kwa sababu alitudharirisha sana Wasukuma tunaojielewa. Jitu lilikuwa linafanya mambo ya kishamba shamba tu limetufedhehesha mno mpaka tunaitwa Sukuma gang.
Halafu mnaotumia hilo neno Sukuma gang hebu tafuteni jina jingine. Sisi wengine ni Wasukuma na hatujawahi kumkubali huyo dikteta uchwara wa Chato.
Nimeshakwambia wewe sio msukuma, achakujifichia kwenye hicho kivuli wewe upo kwenye hilo genge la wahuni mkwere gang, sisi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na wajinga kama wewe,mzee au circuit yako ya tribe kwenye brain yako imecollapse???, we si juzi uliniambia tribe yako mkwere wa msoga ??, sisi sukuma land hatuwezi kuwa na wehu kama weweMkuu usituhusishe Wasukuma wote na ujinga wa dikteta uchwara kutoka Chato. Sisi wengine hatukuwahi kulikubali hilo jitu lenye roho mbaya.
Hizi speculation ni za kijinga sana.Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Unataka kusema huyo Mungu wenu sio dikteta?Kondoo jike wewe,hatuna wasukuma wapuuzi kama wewe ,wewe ni chawa wa msoga gang, iv unajua maana ya dikteta ??, au umekalilishwa kwa propaganda za mkwescist , acha upuuzi kuwa chawa kufa utakufa tu, kifo hakikwepeki...