Pengine wana maslahi na hilo jambo na liko funded kwa maslahi flani ILA JOHN kuwa msukuma au kutokuwa haina maana ubaya au uzuri wake ni wa wasukuma wote hilo jambo lina makusudi maalum na tutayaona kuelekea 2025Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....
Emu tuthibitishie we msoga gang, alivunja katiba wapi??Unataka kusema huyo Mungu wenu sio dikteta?
Mtu aliyekuwa anavunja katiba hadharani sio dikteta? Au mwenzetu hukuona kipindi anavunja katiba.
Mtu aliyeiba kura kipumbavu kujaza mi CCM bungeni sio dikteta?
Kwani mtu ukiwa msukuma lazima umpende dikteta uchwara?Nimeshakwambia wewe sio msukuma, achakujifichia kwenye hicho kivuli wewe upo kwenye hilo genge la wahuni mkwere gang, sisi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na wajinga kama wewe,mzee au circuit yako ya tribe kwenye brain yako imecollapse???, we si juzi uliniambia tribe yako mkwere wa msoga ??, sisi sukuma land hatuwezi kuwa na wenu kama .
Alizuia mikutano ya siasa kinyume na katiba.Emu tuthibitishie we msoga gang, alivunja katiba wapi??
Huyo mshamba alikuwa ni Mrundi aliyejificha kwenye cover ya usukuma kwa sababu hakuww Mtanzania.Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....
Wewe msoga ngang aka mkwere tuthibitishie ukatili wake upi ?? Au ulitolewa kazini kwa vyeti feki??Kwani mtu ukiwa msukuma lazima umpende dikteta uchwara?
Yaani nilipende jitu katili lenye roho mbaya eti kisa tunashare kabila. Huo ujinga sina.
Wewe ni msoga gang ,chawa aka mkwescistAlizuia mikutano ya siasa kinyume na katiba.
Msoga gang ni bibi yako.
Vip kwahiyo sasa hiyo,mikutano ya siasa mmeanza kufanya??,na katiba mpya mmeipata??,kweli wewe ni jinga kwelikweli..Wewe ni msoga gang ,chawa aka mkwescist
Una uhakika 'shujaa' alikuwa ni ngosha?Nimeshakwambia wewe sio msukuma, achakujifichia kwenye hicho kivuli wewe upo kwenye hilo genge la wahuni mkwere gang, sisi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na wajinga kama wewe,mzee au circuit yako ya tribe kwenye brain yako imecollapse???, we si juzi uliniambia tribe yako mkwere wa msoga ??, sisi sukuma land hatuwezi kuwa na wehu kama wewe
Ndio ninauhakikaUna uhakika 'shujaa' alikuwa ni ngosha?
amewekeza kwenye kiti Cha upuresidaa sio,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa akiwa muwekezaji kuna shida gani?
Nitakosea nikisema wewe ni mama?Ndio ninauhakika
BalaaaaahBinafsi naona neno hayati linatumika vibaya when it comes kwa Jiwe, labda tubaki na ile maana ya kuwa na cheo kikubwa au umashuhuri tu.
Kweli we jamaa circuit zako za ubongo zinaitirafu ya kiumeme,majitu majinga kama nyinyi na mawazo yao mufilisi, hizi ndizo akili nyingi za kwere gangNitakosea nikisema wewe ni mama?
Mama wa John, na Kadi zote za Clinic unazo!
Jibu swali acha kutapika..wewe ni mama wa Mwendakuzimu?Kweli we jamaa circuit zako za ubongo zinaitirafu ya kiumeme,majitu majinga kama nyinyi na mawazo yao mufilisi, hizi ndizo akili nyingi za kwere gang
Hawa ndo wale wanao wasifia wazungu walio waita nyaniKondoo jike wewe,hatuna wasukuma wapuuzi kama wewe ,wewe ni chawa wa msoga gang, iv unajua maana ya dikteta ??, au umekalilishwa kwa propaganda za mkwescist , acha upuuzi kuwa chawa kufa utakufa tu, kifo hakikwepeki...
sasa hivi mnafanya siasa?Alizuia mikutano ya siasa kinyume na katiba.
Msoga gang ni bibi yako.
Jibu swali dikteta alivunja katiba au hakuvunja?Wewe ni msoga gang ,chawa aka mkwescist
Vip nawewe ni mfu mtarajiwa???Jibu swali acha kutapika..wewe ni mama wa Mwendakuzimu?
Nitajie kifungu kipi cha katiba alichovunjaJibu swali dikteta alivunja katiba au hakuvunja?