Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha.
Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na siasa za Lema

Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks
·
4h

Wahuni & Gambo walishirikiana kumpa Bashite Sumu. Alikimbizwa Dubai, lakini kwa sababu Wahuni wana connection kubwa Dubai, TISS waliogopa na kumpeleka South Africa. Hali ya Bashite haitabiriki, wiki 2 zilizopita hali ilikuwa mbaya sana. Akaja kuwa Sawa, hali yake inayumba sana.

View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1822109556341690599/photo/1
 
Kama Mangula alipewa sumu akapona na hakuna aliekemea hilo!nadhani utamaduni huu wa CCM chama changu tumeuendeleza na kuufumbia macho basi utatutokea puani!!!

Hata mwenyekiti wetu hatokua salama kama CCM haitakemea hili na Wala hakuna alieshtakiwa kwa kosa la mangula kupewa sumu!!

Tunaaminisha umma kwamba sisi CCM huo no utamaduni wetu kwamba wanaccm hatupo salama tena ndani ya chama yaani yeyote anaweza kulazwa muda wowote!!

Mungu atusaidie!sijui mwenyekiti huko alipo anaishije!sijui hata kama anakula au anafunga maana hakuna wa kumwamini coz tunaendeleza utamaduni wa hovyo uliopo!
 
Na hii wewe unasemaje kama Lema ndio anawakosanisha.

Kuna wakati ndugu wakipigana unasema wanapigana na ni jukumu la wazazi kumaliza ugomvi. Ila Mwanao akipigana na mtoto wa jirani mahitaji wazazi wote kulimaliza.

Sijui unanielewa. Kama hinielewi jiukize.

Makonda yupo wapi, kwa nini haonekaniki hadharani hata kama anapita TU kuendelea na shughuli zake binafsi?

Ugomvi wa wanafamilia hauwahusu majirani.
 
Hii nchi ya ajabu sana, hivi serikali kwanini huwa inakaa kimya mambo kama haya yanapotokea?

Wananchi hawapaswi kufahamu yanayoendelea kuhusu viongozi wao?

KwaJPM wameficha muda mrefuu matokeo yake wakaumbuka, ni bora waseme ukweli maombi ya wananchi yanaweza kuwa msaada.
 
Serikali imesema yuko likizo
 
Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha.
Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na siasa za Lema

Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks
·
4h

Wahuni & Gambo walishirikiana kumpa Bashite Sumu. Alikimbizwa Dubai, lakini kwa sababu Wahuni wana connection kubwa Dubai, TISS waliogopa na kumpeleka South Africa. Hali ya Bashite haitabiriki, wiki 2 zilizopita hali ilikuwa mbaya sana. Akaja kuwa Sawa, hali yake inayumba sana.

View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1822109556341690599/photo/1

Makonda anamaaadui kibao huwezi jua

USSR
Mkuu,kila binadamu ana maadui,wengine unaweza kuwajua na wengine huwajui,

Kama mtu hana maadui basi mtu huyo hana anachokifanya hapa Duniani,

Kumbuka kua maadui zako wapo tu hata kama utafanya mambo mema,unaweza kua na maadui kisa tu unafanya mambo mazuri au unatetea haki.
 
Kama Mangula alipewa sumu akapona na hakuna aliekemea hilo!nadhani utamaduni huu wa CCM chama changu tumeuendeleza na kuufumbia macho basi utatutokea puani!!!

Hata mwenyekiti wetu hatokua salama kama CCM haitakemea hili na Wala hakuna alieshtakiwa kwa kosa la mangula kupewa sumu!!

Tunaaminisha umma kwamba sisi CCM huo no utamaduni wetu kwamba wanaccm hatupo salama tena ndani ya chama yaani yeyote anaweza kulazwa muda wowote!!

Mungu atusaidie!sijui mwenyekiti huko alipo anaishije!sijui hata kama anakula au anafunga maana hakuna wa kumwamini coz tunaendeleza utamaduni wa hovyo uliopo!
Hakupewa sumu yoyote. Zile zilikuwa porojo za Magufuli. Hata yeye alikuwa anapiga debe eti alilishwa sumu. Uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom