NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kumbe Kuna porojo kwenye uhai na maisha ya watu SI ndio!!?Hakupewa sumu yoyote. Zile zilikuwa porojo za Magufuli. Hata yeye alikuwa anapiga debe eti alilishwa sumu. Uongo mtupu.
Hako kautamaduni ka porojo kwenye maisha ya watu ndio hako hako hata Raid akiumwa tunafanya Siri na kupiga porojo Hadi kifo kinatuumbua!na Sasa tunapiga porojo kuhusu makonda na afya.yake!
Chama kinaendekeza porojo tu!
