Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

Hakupewa sumu yoyote. Zile zilikuwa porojo za Magufuli. Hata yeye alikuwa anapiga debe eti alilishwa sumu. Uongo mtupu.
Kumbe Kuna porojo kwenye uhai na maisha ya watu SI ndio!!?

Hako kautamaduni ka porojo kwenye maisha ya watu ndio hako hako hata Raid akiumwa tunafanya Siri na kupiga porojo Hadi kifo kinatuumbua!na Sasa tunapiga porojo kuhusu makonda na afya.yake!

Chama kinaendekeza porojo tu!
 

Wewe comte ni wa
Kike
Kiume
Shamale ?
 
Tunachoweza kujifunza ni kwamba maneno huumba. Hivyo ni muhimu kutafakari kabla ya kutamka chochote iwe kwa hasira au kwa utani ... Lisemwalo huja.

Wapo waliojitabiria vifo na ikatokea. wapo waliojitabiria kunyweshwa sumu ikatokea na wapo waliojitabiria kutekwa ikatokea kweli.....Tuwe na akiba ya maneno na hasa kwa viongozi kwenye jamii pale wanapokuwa mimbarini.
 
Sasa Ukipewa Cheo Ujiandae Kulamba Dawa Ufe Haraka
CCM Ilijivua Gamba Gani Kama Mpaka Sasa Upuuzi Huu Unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…