mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 933
Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla.
It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF management anonymity policy, kwa hiyo watu wanaweka hisia zao hadharani, AND you can predict the future.
NIOMBE:
Uvumilivu wa ki Imani za KIDINI utawale, TUEPUKE kudhihaki imani zingine, ati wao hawako SAWA, Sisi NDIO sisi NA kuitana MAJINA mabaya.
Tuheshimiane BILA Kukashifiana kwa sababu imani hizi ni jinsi tulivyozaliwa, Kulelewa bna KUAMINISHWA. TUSIKUBALI kuchonganishwa WALA Kugombanishwa kwa maslahi ya watu wachache ambao hata hatujui MALENGO yao.
MUNGU IBARIKI TANZANIA (NA DINI ZAKE ZOTE)