Eng CA Christopher
New Member
- May 8, 2023
- 4
- 2
Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu
Mfano wa nafasi hizo ni
Siasa
Utunzaji wa mazingira n. k
Kifanyike nini?
Kuwakumbusha vijana wanapo kuwa vyuoni juu ya umuhimu wao katika jamii.
Serikali kuwasaidia vijana katika malengo yao ili kuwa na uthubutu wakujaribu kuingia katika majukwaa mbali mbali katika jamii.
Hitimisho
Kwakutambua haya, jamii yetu itakuwa na viongozi wa mfano

Upvote
2