Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto.
Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa.
Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa.
Kama tunaamini Taifa hili n huru na Kuna wengine wanaweled Zaid ya wengine kwanini mamlaka haziwawajibishi wale wanaoshindwa kuwajibika?
Mpaka kitokee kitu gani labda ndio watu wawajibike au wawajibishwe na mamlaka husika?
Tuige mfano wa
Mrhm: Ndg Augustine Lyatonga Mrema
Ndg Ally Hassan mwinyi
Ndg Edward Ngoyai Lowasa
Hawa waliamua kuwajibika na kuzitaarifu mamlaka zilizowateua kuwa kutokana na mazingira ya uhalisia wa Jambo likitokea na wao kuwa n wasimamizi wakuu kwenye Hilo jambo serikali wqnaomba kuwajibika sio sababu wameshiriki Bali dhamana walipopewa na serikali wameshindwa kuisimamia vizuri huenda wao au wasimamizi wao labda kwa makusudi au bahati mbaya.
Sasa hao waliweza kukiwa hakuna WhatsApp, telegram, 4g, Smartphone na kila aina mpya ya Kasi ya mawasiliano zilizopo Sasa vipi hawa wasasa wanashindwa Nini?