Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Msaada kama huo utaupata kwa kuzungumza na watu wa karibu yako hasa kama huwa unasali, anza kutengeneza ukaribu na Watu wenye nafasi kwenye jamii au walio na uwezo wa Kifedha ni rahisi kupata connection ili kutimiza lengo lako.Habari wakuu
Eti nauliza wale wanaopataga wafadhili binafsi mfano mtu tu anajitolea kupeleka shule ukajiendeleze kielimu hapahapa Tz pale ulipokwamia huwa wanawapata wapi? Wanawapataje?
Na je Wana masharti ama vigezo vyao vikoje?
Muda haumngoji mtu,umri unaenda..
Biashara ndogondgo nazo pesa ya kubangaiza ngumu.
Siingii mahali pengi sababu Sina cv imejitosheleza zaidi ya "fomfoo[emoji4]
InakuwajeWe unafikir ni hivi hivi tu..
AminaSio rahisi sana labda iwe ni jaaliwa lako, endelea kupambana peke yako ukiwa nai na dhamiri huku ukimtanguliza Mungu hutakosa kufanikiwa.
Nauchumba uwepo.Inakuwaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772]Watu binafsi waliopo ni wale wa kusomesha mkimaliza mnafunga ndoa [emoji38] ukienda nje ya makubaliano anakushoot !!
Fuatilia kwa mashirika yasiyo ya serikali au ya kimataifa na baadhi ya nchi huwa zinatoa ufadhili
[emoji23] jamaniiNauchumba uwepo.
Eehe ndugu yetu , usije ukayatimba ukisaini mikataba ya watu binafsi kuwa makini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772]
Sawa
Ndio ivo..hakuna cha bure..kama uko tayari sema.[emoji23] jamanii
Kwanza unataka kusoma level gani ya elimu na course Gani ?[emoji23] jamanii
Haya ndugu yangu..[emoji23][emoji23]Eehe ndugu yetu , usije ukayatimba ukisaini mikataba ya watu binafsi kuwa makini.
Ndo masharti ya mfadhili?Ndio ivo..hakuna cha bure..kama uko tayari sema.
Diploma ya marketing au business administrationKwanza unataka kusoma level gani ya elimu na course Gani ?