Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Habari wakuu
Eti nauliza wale wanaopataga wafadhili binafsi mfano mtu tu anajitolea kupeleka shule ukajiendeleze kielimu hapahapa Tz pale ulipokwamia huwa wanawapata wapi? Wanawapataje? Na je, wana masharti ama vigezo vyao vikoje?
Muda haumngoji mtu, umri unaenda.
Biashara ndogondgo nazo pesa ya kubangaiza ngumu.
Siingii mahali pengi sababu Sina cv imejitosheleza zaidi ya "fomfoo[emoji4]