UWanaopata wafadhili wa masomo huwa wanawapata wapi?

UWanaopata wafadhili wa masomo huwa wanawapata wapi?

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Habari wakuu
Eti nauliza wale wanaopataga wafadhili binafsi mfano mtu tu anajitolea kupeleka shule ukajiendeleze kielimu hapahapa Tz pale ulipokwamia huwa wanawapata wapi? Wanawapataje? Na je, wana masharti ama vigezo vyao vikoje?

Muda haumngoji mtu, umri unaenda.

Biashara ndogondgo nazo pesa ya kubangaiza ngumu.

Siingii mahali pengi sababu Sina cv imejitosheleza zaidi ya "fomfoo[emoji4]
 
Habari wakuu
Eti nauliza wale wanaopataga wafadhili binafsi mfano mtu tu anajitolea kupeleka shule ukajiendeleze kielimu hapahapa Tz pale ulipokwamia huwa wanawapata wapi? Wanawapataje?
Na je Wana masharti ama vigezo vyao vikoje?

Muda haumngoji mtu,umri unaenda..
Biashara ndogondgo nazo pesa ya kubangaiza ngumu.
Siingii mahali pengi sababu Sina cv imejitosheleza zaidi ya "fomfoo[emoji4]
Msaada kama huo utaupata kwa kuzungumza na watu wa karibu yako hasa kama huwa unasali, anza kutengeneza ukaribu na Watu wenye nafasi kwenye jamii au walio na uwezo wa Kifedha ni rahisi kupata connection ili kutimiza lengo lako.
 
Watu binafsi waliopo ni wale wa kusomesha mkimaliza mnafunga ndoa 😆 ukienda nje ya makubaliano anakushoot !!

Fuatilia kwa mashirika yasiyo ya serikali au ya kimataifa na baadhi ya nchi huwa zinatoa ufadhili
 
Watu binafsi waliopo ni wale wa kusomesha mkimaliza mnafunga ndoa [emoji38] ukienda nje ya makubaliano anakushoot !!

Fuatilia kwa mashirika yasiyo ya serikali au ya kimataifa na baadhi ya nchi huwa zinatoa ufadhili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772]
Sawa
 
Hadi mtu akusaidie kukusomesha maana yake nawe upo vizuri kimasomo.na ungekuwa vizuri kimasomo yamkini huko huko shule kuna watu au walimu wako wangekuona na kukusaidia.
Je wewe unacho cha ku offer??
 
Compasheni wanausika sana na hayo maswala, kwa mtu binafsi niwewe uangalie nani anaweza kukusaidia unaye mjua kisha unamfata na sukari kilo moja na majani ya chai, unatema cheche
 
Zamani ilikuwa inawezekana, ila kwa sasa changamoto ni nyingi; tafuta mtu ambaye yuko vizuri kiuchumi, kuwa naye kiurafiki huku akikusaidia kutimiza ndoto zako.
 
Back
Top Bottom