kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Umeandika upumbavu na upopoma wa hali ya juu mkuu yani sikutegemea popoma kama wewe kuandika kitu cha namna hiiKuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa duniani hadi najiuliza ni kwanini hata Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake muhimu Kuwaumbeni. Uwanja wa Mpira haujengwi kwa Kigezo cha eneo husika kuwa mbali au kwamba halina Watu wengi au halina Michezo. Ujenzi wa Uwanja unaweza ukawa sasa ndiyo chachu kubwa ya muamko wa Kimichezo katika eneo husika lakini pia Ujenzi wa huo huo Uwanja unaweza pia kuwa ni Chanzo cha Mapato kwa Halmashauri na Serikali husika ya Mkoa. Kama haitoshi Uwanja huo huo mkubwa wa hapo unaweza kuwa ni Chanzo cha Kiuchumi hasa kwa Wakazi kwani wanaweza wakawa wanauza bidhaa zao pale Michuano ikiwa inachezwa hapo. Baada ya Ujenzi wa huo Uwanja wenye Mamlaka nao wanaweza wakawa wanautumia kwa Kuukodisha kwa Timu Kubwa Kubwa nchini au hata wakawa Wanaandaa Mashindano ambayo yatazikutanisha hizi Klabu Kubwa hivyo Mapato Kuongezeka lakini hata na Hamasa ya Kimpira na Kimichezo eneo husika nayo ikaongezeka. Na Viwanja havijengwi kwa matumizi tu ya sasa basi Viwanja vinajengwa hata kwa matumizi ya baadae na kwa Vizazi vijavyo. Na Kinachofanya Uwanja Kujaa siyo Watu ( Wakazi ) husika wa hapo bali ni ' Hamasa ' na ' Mwamko ' unaojengwa na Wahusika wa Kimichezo kutokana na Mipango yao waliyonayo katika Kuendeleza Mchezo wa Mpira wa Miguu hapo. Na hakuna mahala popote pale nchini Tanzania pameandikwa kwamba ndiyo pawe na Uwanja wa Mpira na pengine pasiwepo. Umeleta Mada hii Kiuanaharakati / Kisiasa zaidi kwakuwa tu una Chuki zako na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kuwa nae anatokea hilo eneo la Chato na huenda pia na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na hii Serikali ila nina uhakika Uwanja huu huu ungesikia Unajengwa eneo jingine wala usingekuja na haya ' Majungu ' yako. Kwani sehemu atokayo Rais ikiwa na Maendeleo ni Kosa au Dhambi? Mnafiki na Mshamba mkubwa Wewe!