impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Fujo isiyo umiza siwezi kuumizwa na matusi na siwezi kukuchukia kwasababu umenitukana ukiona una hajaNakupa ONYO KALI la Mwisho tafadhali kama Wewe unajijua kabisa kuwa hutokei haya Makabila Makubwa ya ' Watani ' zangu Wahaya ( Kagera ), Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Wanyiramba ( Singida ), Wakara ( Ukerewe Mwanza ) na Warangi ( Kondoa Dodoma ) naomba uache ' Kunichokoza ' kwani huenda nikakupa Jibu ambalo litakufanya unichukie Maisha yako yote tafadhali. Kama unatokea hayo Makabila tajwa hapo juu basi sawa nakuruhusu unichokoze na unitanie uwezavyo ila tofauti na hapo ' nitakuraruararua ' Mkuu.
Mwisho wa yote mimi natokea mkoa wa Kagera.
Mkoaa umetajwa kuongoza kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa asilimia 78 hali iliyosababisha hofu kubwa kwa wakina mama,wazee na watoto kutokana na mira kandamizi ya kupora mali ikiwemo ardhi,kuozesha watoto wadogo kwa nguvu,kukithiri kwa vitendo vya ukeketaji,utumikishaji watoto majumbani,vipigo kwa wanawake na wazee kutokana na ukwiukwaji wa sharia za nchi na haki za binadamu.
Up sound…..Mkoa wa Mara wenye makabila 26 umetajwa kuwa na ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa ikiwemo walimu kuwabaka wanafunzi,kuwapa adhabu za kuvuna mtama wakitumia mdomo na wakinamama kuporwa ardhi kama anavyobainisha mkuu wa wilaya ya Bunda mwl.Lidia Bupilipili katika kampeni ya kuhamasisha jamii kuamsha ari ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake,wazee na watoto.
Kwa upandewake mkurugenzi mtendaji wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto KIVULINI Bw.Yasin Ali ameiomba serikali kudhibiti michezo ya kamali na utazamaji wa video usiku wa manane hali inahatalisha maisha ya mtoto huku walimu wakibainisha jinsi wazazi wanavyotumia nguvu kubwa kuozesha watoto wao.