Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka ikipfika 2025 ...godforbid!Wapumbavu watakuwa wameijaza hii nchi!Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??
Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??
Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Katika suala la michezo siwezi kuongea kisiasa.
Hili la ujenzi wa uwanja nimelibariki kwa baraka zote maana kila mtu atakuwa na haki ya kutumia uwanja ule na mechi za kimataifa zitaenda pale.
Uwanja wa michezo kwangu mimi naona ni zaidi ya Ndege.
Kuna wakati mwingine unajitambua na wakati mwingine unakuwa kama akili umeshikiwa labda kwa kuwa ni mtu wa mara huenda unavuta.Ningeshangaa mno na sana kama nisingekutana na ' Pinheaded Weigh in ' kama hii yako. Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie.
Aione. GENTAMYCINE.lango kuu la kuingilia nyumbani Gbadolite, kijijini kwa Mobutu, linavyoonekana leo
![]()
Mkuu ebu tueleze vizuri kwanza kulikoni. Naona malalamiko yako hapa ila sijajua msingi wake. Wametamgaza hivyo au Musiba kasema hivyo?
Nchi ina mechi za Kimataifa zisizozidi 15 kwa Mwaka na hizo hizo zinategemewa Chamazi, Mkapa na Uhuru, Hizo za kuja Chato labda moja au mbili kwa mwaka.
Uwanja wa watu 10000 unawatosha chato. Pia ccm irudishe viwanja kwa serikali za mikoa na wilaya. Sio viwanja vyao.Mbona alitangaza namba 1 mwenyewe kuwa atajenga Chato Stadium ambao ukubwa wake utakua km uwanja wa Taifa. Tatizo langu sioni sababu ya kujenga li uwanja likubwa kiasi hicho huko vichochoroni ambako idadi ya watu ni ndogo sn kulinganisha na mikoa mikubwa yenye uhitaji km Mwanza,Mbeya na Arusha. Chato ungejengwa uwanja wenye capacity ya watu km elfu 20 hv ungetosha.
Tatizo hauna hoja ukiishiwa ni kuleta vimaneno vya kutusi
Una tatizo unataka unachoamini kila mtu akubali, watu wa mara ni kutumia ubabe bila akili hii 2019.
Kwani timu ya taifa tu ndiyo ina mechi za kirafiki.?
Kuna wakati mwingine unajitambua na wakati mwingine unakuwa kama akili umeshikiwa labda kwa kuwa ni mtu wa mara huenda unavuta.
Haiwezekani una support upuuzi na unataka usikosolewe.
Mdogo wangu jitambue
Ukoo wako wa Kiumeni na Kikeni ungepata Mtu hata Mmoja tu mwenye IQ aliyonayo GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nadhani mngeringa na kujivunia huku mkimshukuru mno Mwenyezi Mungu lakini ni bahati mbaya haijawa hivyo na naomba pia nisichelewe kutoa pole Kwako kwa niaba yao.
Uwanja kama wa Taifa, unachukua watu elfu 60. Wakazi wa Dar ni milioni 5 na ndio wenye wastani mkubwa zaidi wa kipato ukilinganisha na miji mingine lkn kuujaza huo uwanja ni mara chache mno. Sasa mji wa Chato wenye wakazi wasiofika laki moja na miongoni mwa watu wenye kipato kidogo zaidi nchini, wanahitaji kweli uwanja mkubwa kama huo unaotajwa?Economically kujenga kiwanja ni kusaidia chato kusogea: wale watu wa chato watapata pa kuuza endapo mechi zitakua zinachezeka apo: Tanzania Sio Dar tu, Raisi angekua ana mawazo kama yako ndo yale ya kenya nairobi uchumi mkubwa wakati turkana watu mil 1 wamekufa kwa njaa: Tunashukuru raisi hana akili kama yako