impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Mkoa mzuri hauwezi kuwa mara penye watu wa ajabuUnabishana na Mimi sasa Mkoa wangu wa Mara ( Musoma ) na Watu wa huko katika Uzi huu wameingiaje? Ngojea sasa wenyewe waje ndipo utawajua. Kuhusu kutaka kila Mtu akubali ninachosema wala hujakosea na hivyo ndivyo nataka kwani GENTAMYCINE ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' au ulikuwa hujui? Bishana na Mimi na acha Kuuhusisha Mkoa wangu mzuri na ninaoupenda wa Mara ( Musoma ) na ' Kuwadhihaki ' wana Mara wenzangu wote sawa? Hili ni ONYO KALI Kwako.
Ukeketaji- Mara
Ubabe - Mara
Unyanyasaji wa jinsia-Mara
Wizi-Mara
Sifa ya uzuri hakuna
Mume amkata masikio yote mawili Mke wake kwa madai ya kupoteza simu yake
Mkazi wa Kijiji cha Mesaga Wilayani Serengeti Mara, aitwaye Magori anadaiwa kumkata masikio yote mawili Mke wake Mkami Mwitonyi mwenye umri wa miaka 22 kwa madai ya kupoteza simu yake. Imeripotiwa kuwa, mwanamke huyo amelazwa katika Hospitali ya DDH wodi ya Wanawake tangu juzi Jumatano, Oktoba...