Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

lango kuu la kuingilia nyumbani Gbadolite, kijijini kwa Mobutu, linavyoonekana leo

bab89da1-5db3-4072-8e35-efc3f97e718f-2060x1314.jpeg
 
Wewe uliona wapi udikteta ukikosa features zake?!Wewe unataka tuwe na udikteta usiokuwa na zile features zake?
 
Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??

Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??

Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Mpaka ikipfika 2025 ...godforbid!Wapumbavu watakuwa wameijaza hii nchi!
 
Katika suala la michezo siwezi kuongea kisiasa.

Hili la ujenzi wa uwanja nimelibariki kwa baraka zote maana kila mtu atakuwa na haki ya kutumia uwanja ule na mechi za kimataifa zitaenda pale.

Uwanja wa michezo kwangu mimi naona ni zaidi ya Ndege.

Nchi ina mechi za Kimataifa zisizozidi 15 kwa Mwaka na hizo hizo zinategemewa Chamazi, Mkapa na Uhuru, Hizo za kuja Chato labda moja au mbili kwa mwaka.
 
Ningeshangaa mno na sana kama nisingekutana na ' Pinheaded Weigh in ' kama hii yako. Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie.
Kuna wakati mwingine unajitambua na wakati mwingine unakuwa kama akili umeshikiwa labda kwa kuwa ni mtu wa mara huenda unavuta.
Haiwezekani una support upuuzi na unataka usikosolewe.
Mdogo wangu jitambue
 
Mbona alitangaza namba 1 mwenyewe kuwa atajenga Chato Stadium ambao ukubwa wake utakua km uwanja wa Taifa. Tatizo langu sioni sababu ya kujenga li uwanja likubwa kiasi hicho huko vichochoroni ambako idadi ya watu ni ndogo sn kulinganisha na mikoa mikubwa yenye uhitaji km Mwanza,Mbeya na Arusha. Chato ungejengwa uwanja wenye capacity ya watu km elfu 20 hv ungetosha.
Mkuu ebu tueleze vizuri kwanza kulikoni. Naona malalamiko yako hapa ila sijajua msingi wake. Wametamgaza hivyo au Musiba kasema hivyo?
 
Kwani timu ya taifa tu ndiyo ina mechi za kirafiki.?
Nchi ina mechi za Kimataifa zisizozidi 15 kwa Mwaka na hizo hizo zinategemewa Chamazi, Mkapa na Uhuru, Hizo za kuja Chato labda moja au mbili kwa mwaka.
 
hahahahahahaaaaaa

mods wameniwekea kizingiti nisiendelee ku post mi picha inayomfananisha bwana mkubwa na Sese Seko Mobutu Kuku Ngbendu wa Zabanga

kosa liko wapi, Sese Seko alijenga ma white elephant kijijini kwao kwa hela ya umma kwa utashi wake, na huyu anajenga ma white elephant kijijini kwao kwa hela ya umma kwa utashi wake, kuwafananisha tunakosea wapi?
 
Mbona alitangaza namba 1 mwenyewe kuwa atajenga Chato Stadium ambao ukubwa wake utakua km uwanja wa Taifa. Tatizo langu sioni sababu ya kujenga li uwanja likubwa kiasi hicho huko vichochoroni ambako idadi ya watu ni ndogo sn kulinganisha na mikoa mikubwa yenye uhitaji km Mwanza,Mbeya na Arusha. Chato ungejengwa uwanja wenye capacity ya watu km elfu 20 hv ungetosha.
Uwanja wa watu 10000 unawatosha chato. Pia ccm irudishe viwanja kwa serikali za mikoa na wilaya. Sio viwanja vyao.
 
Tatizo hauna hoja ukiishiwa ni kuleta vimaneno vya kutusi
Una tatizo unataka unachoamini kila mtu akubali, watu wa mara ni kutumia ubabe bila akili hii 2019.

Unabishana na Mimi sasa Mkoa wangu wa Mara ( Musoma ) na Watu wa huko katika Uzi huu wameingiaje? Ngojea sasa wenyewe waje ndipo utawajua. Kuhusu kutaka kila Mtu akubali ninachosema wala hujakosea na hivyo ndivyo nataka kwani GENTAMYCINE ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' au ulikuwa hujui? Bishana na Mimi na acha Kuuhusisha Mkoa wangu mzuri na ninaoupenda wa Mara ( Musoma ) na ' Kuwadhihaki ' wana Mara wenzangu wote sawa? Hili ni ONYO KALI Kwako.
 
Yaani nyie mnaotete huu ujinga ni vilaza sana. What the https://jamii.app/JFUserGuide with chato. Huyu jamaa kwa kifupi ni mbinafsi sana na anafanya haya kwa sabab ameshatuona sisi watanzania ni wapumbavu kashatudharau kias cha kutupaka mavi kichwan coz ameshaona hatuwez kuhoji lolote analofanya ata km la kipumbavu japo anatumia hela yetu. The guys is so selfish and stupid.

Kwa nchi masikin km hii miradi mikubwa ya maendeleo au investment km hizi huez kupeleka vijijin ambako hakuna watu wa kuzitumia.

Tunayo kazi kubwa mbele yetu km taifa kujenga mji mkuu wa nchi dodoma. Huu mji mdo unatakiwa kutengeneza taswira ya nchi yetu. Ila mpaka sasa dodoma kuna ata kiwanja cha ndege chenye hadhi ya kimataifa badala yake tunajenga kiwanja cha ndege chato huon km huu ni utahira. Uwanja wa mpira mkubwa ulipaswa ujenge dodoma lakin saiv unajengwa chato hapo hapo unawaambia mabalozi wa nchi mbali mbali waahamie dodoma huk wew miundo mbinu umeidirect kijiji no wonder hakuna ata ubaloz mmoja umesha hamia do mpk saiv.

Huyu jamaa hayupo kwa jili ya kuijenga nchi hii yupo kwa jili ya manufaa yake binafsi.

Then nambie akishamaliza mda wake nani ataenda chato kufanya nin. Abiria wa ndege kubwa za watu 100 wa kwenda chato kila siku watatoka wapi.

Kila jamaa akifanya jambo la kipumbavu watu wanashabikia tu hii nchi ya kisenge sana.
 
Kuna wakati mwingine unajitambua na wakati mwingine unakuwa kama akili umeshikiwa labda kwa kuwa ni mtu wa mara huenda unavuta.
Haiwezekani una support upuuzi na unataka usikosolewe.
Mdogo wangu jitambue

Kwani Mimi nikivuta Bange / Bangi zangu ambazo ndizo hunifanya niwe ' Genius / Brainiac ' zaidi Wewe Kinakuuma nini? Na Wewe unavyopenda ' Kunyabelika ' kuna Mtu huwa anakushangaa au hata Kukuzuia? Mimi starehe yangu ni ' Bangi / Bange ' na Wewe yako ni ' Kunyabeliwa ' hivyo kila Mtu asimuingilie Mwenzake sawa?
 
Wenye akili hawajisifii. Yawezekana ukawa wa kwanza kwa darasa la vilaza watupu. Tulia mkuu acha kujikweza km mzee Meko. Tujadiliane kwa staha tu sio mashindano ya eti mi nilipata div. 1 ya point7. Useless.
Ukoo wako wa Kiumeni na Kikeni ungepata Mtu hata Mmoja tu mwenye IQ aliyonayo GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nadhani mngeringa na kujivunia huku mkimshukuru mno Mwenyezi Mungu lakini ni bahati mbaya haijawa hivyo na naomba pia nisichelewe kutoa pole Kwako kwa niaba yao.
 
Economically kujenga kiwanja ni kusaidia chato kusogea: wale watu wa chato watapata pa kuuza endapo mechi zitakua zinachezeka apo: Tanzania Sio Dar tu, Raisi angekua ana mawazo kama yako ndo yale ya kenya nairobi uchumi mkubwa wakati turkana watu mil 1 wamekufa kwa njaa: Tunashukuru raisi hana akili kama yako
Uwanja kama wa Taifa, unachukua watu elfu 60. Wakazi wa Dar ni milioni 5 na ndio wenye wastani mkubwa zaidi wa kipato ukilinganisha na miji mingine lkn kuujaza huo uwanja ni mara chache mno. Sasa mji wa Chato wenye wakazi wasiofika laki moja na miongoni mwa watu wenye kipato kidogo zaidi nchini, wanahitaji kweli uwanja mkubwa kama huo unaotajwa?

Vv
 
Back
Top Bottom