Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Kuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa duniani hadi najiuliza ni kwanini hata Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake muhimu Kuwaumbeni. Uwanja wa Mpira haujengwi kwa Kigezo cha eneo husika kuwa mbali au kwamba halina Watu wengi au halina Michezo. Ujenzi wa Uwanja unaweza ukawa sasa ndiyo chachu kubwa ya muamko wa Kimichezo katika eneo husika lakini pia Ujenzi wa huo huo Uwanja unaweza pia kuwa ni Chanzo cha Mapato kwa Halmashauri na Serikali husika ya Mkoa. Kama haitoshi Uwanja huo huo mkubwa wa hapo unaweza kuwa ni Chanzo cha Kiuchumi hasa kwa Wakazi kwani wanaweza wakawa wanauza bidhaa zao pale Michuano ikiwa inachezwa hapo. Baada ya Ujenzi wa huo Uwanja wenye Mamlaka nao wanaweza wakawa wanautumia kwa Kuukodisha kwa Timu Kubwa Kubwa nchini au hata wakawa Wanaandaa Mashindano ambayo yatazikutanisha hizi Klabu Kubwa hivyo Mapato Kuongezeka lakini hata na Hamasa ya Kimpira na Kimichezo eneo husika nayo ikaongezeka. Na Viwanja havijengwi kwa matumizi tu ya sasa basi Viwanja vinajengwa hata kwa matumizi ya baadae na kwa Vizazi vijavyo. Na Kinachofanya Uwanja Kujaa siyo Watu ( Wakazi ) husika wa hapo bali ni ' Hamasa ' na ' Mwamko ' unaojengwa na Wahusika wa Kimichezo kutokana na Mipango yao waliyonayo katika Kuendeleza Mchezo wa Mpira wa Miguu hapo. Na hakuna mahala popote pale nchini Tanzania pameandikwa kwamba ndiyo pawe na Uwanja wa Mpira na pengine pasiwepo. Umeleta Mada hii Kiuanaharakati / Kisiasa zaidi kwakuwa tu una Chuki zako na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kuwa nae anatokea hilo eneo la Chato na huenda pia na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na hii Serikali ila nina uhakika Uwanja huu huu ungesikia Unajengwa eneo jingine wala usingekuja na haya ' Majungu ' yako. Kwani sehemu atokayo Rais ikiwa na Maendeleo ni Kosa au Dhambi? Mnafiki na Mshamba mkubwa Wewe!
Umeandika upumbavu na upopoma wa hali ya juu mkuu yani sikutegemea popoma kama wewe kuandika kitu cha namna hii
 
Gentamycine leo umeniangusha sn. Umecheza chini ya kiwango mno mpaka nimehic pengine labda kuna mtu ameHieck Id.yako
 
Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??

Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??

Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Mkuu kwa kuongezea tu!
Dhambi ya ubaguzi isiwaingie watu...sisi wazanzibari wao watanganyika,sisi wamasai wao wasukuma..juzi juzi NHC ilikuwa inatangaza maeneo huko Chato kwa watanzania wote.Kama vipaumbele vipo Chato na vitaendana na mahitaji ya mtu aende akatumie fursa hiyo,nchi yote ni yetu Chato hatuendi kwa passport, Mbona Dar imejaa wakuria,wachaga,wamasai,wahaya nk na hakuna malalamiko ya kupendelewa kwa jiji kama ulivyo wivu juu ya Chato na Dodoma?
Jamani mwenyewe fursa ya kuitumia Chato au kama una mradi Chato wakaribishe wana JF wenzako,Usinisahau
 
wala hamna tatuzo chato ni eneo la Tanzania so mashabiki wataenda tu
 
Kamgomoli

Hivi jamani, bona tunakuwa na wivu wakike? Kwani huwo uwanja ni wa Mh. Rais au wa Watanzania hata na wewe uliyeandika huu uzi?
Ttzo fedha hazitoshi tungeanza na vipaumbele muhimu hivo luxurious vitafata baadae,tuwajengee watu wetu kwanza uwezo wa kuzalisha na kujitegemea,tupunguze tatizo la ajira kwanza
 
Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??

Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??

Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Wajinga na wapumbavu hawawezi Isha juu ya nchi,mtu ametolea mfano rwanda kwa kufanya miradi strategic wewe unasema hatushindani na rwanda sijui popote ijengwe ilimradi ni Tzn? Are you okey upstair huko kweli?
 
Sio tu aione bali aione kwenye jarada,ni wapuuzi sana kwamba mechi za kimataifa zitakuwa zinapelekwa Chato? Labda na vichaa kama tu tff na timu kubwa zinakomaa Dar ambako angalau uwingi wa watu unawavutia wanaweza pata pesa huko Chato hakuna chochote kutaleta tija na huo uwanja kama popoma mkuu gentamycin anavyosema
 
Pointless kabisa ujui maana ya resource allocation and locus yaan tujenge uwanja badala ya mambo ya Muhim? Tena on bias bases???
Hawa mbuzi mnaowaambia economic principles hawawezi kukuelewa unapoteza mda,si ajabu nchi inaenda mtu mkubwa anavyotaka,hilo la uwanja halina tofauti na sgr
Ccm wametuambia nchi iko connected na umeme 80% hapo tuna ziada ya meg 300 out 1520mgwt,sasa uwekezaji wa matrioni ya pesa kwenye mg 2100 ambazo it will take more than 50 yrs kuweza kuzi exhaust,kulikuwa na haja gani ya kutumia pesa zote hizo kwenye mradi wa hivyo? Tukisema watu hawana akili na hawawezi kuwa na economic rational thinking as far as efficient resource allocation and welfare maximazation is concerned mtabisha? Opportunity cost ya miradi hii ni kubwa sana ila kwa kuwa watu weusi wanatumia hisia na wishful thinking ndio maana haya yanafanyika no one cares,just buy dreamliner kwa cash mnaohangaika na maji,barabara mbovu etc mtajijua
Ukifuatilia sana haya mambo hasa kama wewe ni una akili na critical thinker unaweza kufa kabla ya cku zako maana utaumia sana
 
mbuzi ndo wakina nan? ukifanya investment hauhitaji izo principles, ingekua ivo wote waliosoma principles za uchumi wangekua matajiri lakini wamekua mzigo mkubwa sana hii nchi: the rules of the world are still the same: make smart moves, get losses , make another investment and you succeed: akuna principles apo, not unless rich people wangekua into compulsory kwenda shule
 
Acha ujinga wako,economics ni somo kama masomo mengine na core function yake ni ku serve public interests and welfare na sio self interest ndio maana mada ya kiwanja sio mtu binafsi ila ni mradi unaotumia pesa za umma
Mwisho ni kwamba kuna haja somo la uchumi liwe la lazima kuanzia primary hadi university ili kuokoa rasilimali za umma kutokana na maamuzi mabovu ya viongozi,wakipata ABC za uchumi itasaidia sana ikizingatiwa kuna branch za uchumi kama behavioral economics ambazo zina deal na mambo ya hisia binafsi linapokuja suala la mtu kufanya maamuzi yenye kuathiri jamii..mbuzi kama nyie muwe mnajielimisha
 
Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??

Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??

Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Unauhakika hawajalalamika.?

Kuhusu uwanjani naunga mkono hoja kwa vile napenda michezo.
 
Acha ujinga wako,economics ni somo kama masomo mengine na core function yake ni ku serve public interests and welfare na sio self interest ndio maana mada ya kiwanja sio mtu binafsi ila ni mradi unaotumia pesa za umma
Mwisho ni kwamba kuna haja somo la uchumi liwe la lazima kuanzia primary hadi university ili kuokoa rasilimali za umma kutokana na maamuzi mabovu ya viongozi,wakipata ABC za uchumi itasaidia sana ikizingatiwa kuna branch za uchumi kama behavioral economics ambazo zina deal na mambo ya hisia binafsi linapokuja suala la mtu kufanya maamuzi yenye kuathiri jamii..mbuzi kama nyie muwe mnajielimisha

mm naonaga wanaowezana na pesa ni wale ambao hawjaenda shule kabisa, hawa watu wa principles tabu tupu
 
Hivi unaelewa kinachozungumzwa hapa kweli? Hatujadili mambo ya personal bali public..Elimu ipo kwa ajili ya mtu kuwa mtumishi mzuri sio kuwa tajiri muwe mnaelewa essense ya elimu..Hakuna sehemu ambako mtu anasomea kutafuta pesa zake binafsi bali pesa za umma na mashirika,elimu ya pesa binafsi inafundishwa na nature na kipawa cha kugundua kubuni na kutumia fursa ambacho mtu anazaliwa nacho
 
its still the same: umeshindwa kujimanage yourself, do you think you can manage other people: it all starts down from your personal self, sasa kama umeshindwa uwekezaji binafsi, uwekezaji wa nchi utawezaje: zote izi znahusiana na kua smart yourself first before u move ahead, ndo maanaa kuna wabunge ata hawajaenda shule and they work fine: sasa point yako apo unataka kusema u cant get ahead kuongoza nchi kama huna skills za economy from school?
 
Koo

We nae punguza ujinga,kujimanage kiaje? Nimekwambia toka mwanzo fani zote unazojifunza shule ni za kusaidia jamii haziwezi kwa namna yoyote kukufanya kuwa tajiri,how you become tajiri nimekuekeza hapo juu hali kadharika asiyesomea fani hizo hawezi kuwa mtumishi wa umma na hawezi kuwa na tija maana vipawa vyake haviwezi kusaidia umma bali yeye binafsi..
Mfano ukisema mo awe waziri wa fedha au mtunga sera za biashara za umma ni wazi atatunga sera za mlengo binafsi kuakisi biashara zake hapo lazima wengi muumie ndio maana wanakuja watu waliosomea kuweka mizania sawa..sasa kama hutaki kuelewa baki hivyo hivyo
 
. GENTAMYCINE. Ni popoma kabisa kuna wakati anakuwa na akili na wakati mwingine akili zinahama mtoto kama huyu bora ufuge ng'ombe utakunywa maziwa na wenzake. johnthebaptist. kipara kipya. YEHODAYA. wao hushangilia kila kitu.

Sio tu aione bali aione kwenye jarada,ni wapuuzi sana kwamba mechi za kimataifa zitakuwa zinapelekwa Chato? Labda na vichaa kama tu tff na timu kubwa zinakomaa Dar ambako angalau uwingi wa watu unawavutia wanaweza pata pesa huko Chato hakuna chochote kutaleta tija na huo uwanja kama popoma mkuu gentamycin anavyosema
9e88a9ef599a847553b28a896f062cc3.jpeg

Hawa ndio wananchi wa Chato ili wajaze uwanja labda kiingilio iwe [emoji817]
 
Back
Top Bottom